NEW YEAR 2022

Mwaka huu mpya ukawe mwaka wa miujiza ya kuinuliwa na Mungu kwa kila mmoja wetu kiroho na Kimwili. Daima ahadi za Mungu zikapate kutimia miongoni mwetu kama alivyo ahidi na kutimiza kwa Abrahamu na mkewe Sara. Mwanzo 18:10 [10]Akamwambia, Hakika nitakurudia wakati huu huu mwakani, na tazama, Sara mkeo atapata mwana wa kiume. Sara akasikia mlangoni pa hema iliyokuwapo nyuma yake.