Posts

Showing posts with the label Neno la Mungu.

MACHO YAO YAKAFUMBULIWA.

Image
YESU KRISTO LIMBUKO LAO WALIOLALA. MHUBIRI: FAUSTINE GUTAPAKA. 1 Wakorintho 15:20 [20]Lakini sasa Kristo amefufuka katika wafu, limbuko lao waliolala.  But now is Christ risen from the dead, and become the firstfruits of them that slept. MAREJEO: Luka 24:13-34 [13]Na tazama, siku ile ile watu wawili miongoni mwao walikuwa wakienda kijiji kimoja, jina lake Emau, kilichokuwa mbali na Yerusalemu kama mwendo wa saa mbili.  And, behold, two of them went that same day to a village called Emmaus, which was from Jerusalem about threescore furlongs. [14]Nao walikuwa wakizungumza wao kwa wao habari za mambo hayo yote yaliyotukia.  And they talked together of all these things which had happened. [15]Ikawa katika kuzungumza na kuulizana kwao, Yesu mwenyewe alikaribia, akaandamana nao.  And it came to pass, that, while they communed together and reasoned, Jesus himself drew near, and went with them. [16]Macho yao yakafumbwa wasimtambue.  But their eyes were holden that they ...