KUZALIWA KWA BWANA WETU YESU KRISTO.

Luka 2:10-12,14,16-17,20 [10]Malaika akawaambia, Msiogope; kwa kuwa mimi ninawaletea habari njema ya furaha kuu itakayokuwa kwa watu wote; [11]maana leo katika mji wa Daudi amezaliwa, kwa ajili yenu, Mwokozi, ndiye Kristo Bwana. [12]Na hii ndiyo ishara kwenu; mtamkuta mtoto mchanga amevikwa nguo za kitoto, amelala katika hori ya kulia ng’ombe. [14]Atukuzwe Mungu juu mbinguni, Na duniani iwe amani kwa watu aliowaridhia. [16]Wakaenda kwa haraka wakamkuta Mariamu na Yusufu, na yule mtoto mchanga amelala horini. [17]Walipomwona wakatoa habari waliyoambiwa juu ya huyo mtoto. [20]Wale wachungaji wakarudi, huku wanamtukuza Mungu na kumsifu kwa mambo yote waliyosikia na kuyaona, kama walivyoambiwa. Luke 2:10,11,12,14,16-17,20 [10]And the angel said unto them, Fear not: for, behold, I bring you good tidings of great joy, which shall be to all people. [11]For unto you is born this day in the city of David a Saviour, which is Christ the Lord. [12]And this shall be a sign unto you; Ye shall f...