Posts

Showing posts with the label The Word Of God.

KUHUSU KUUSHINDA ULIMWENGU.

Image
KUHUSU KUUSHINDA ULIMWENGU. MHUBIRI: FAUSTINE GUTAPAKA. 1 Yohana 5:4-5 [4]Kwa maana kila kitu kilichozaliwa na Mungu huushinda ulimwengu; na huku ndiko kushinda kuushindako ulimwengu, hiyo imani yetu.  For whatsoever is born of God overcometh the world: and this is the victory that overcometh the world, even our faith. [5]Mwenye kuushinda ulimwengu ni nani, isipokuwa ni yeye aaminiye ya kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu?  Who is he that overcometh the world, but he that believeth that Jesus is the Son of God? Marejeo: 1 Yohana 4:4 [4]Ninyi, watoto wadogo, mwatokana na Mungu nanyi mmewashinda, kwa sababu yeye aliye ndani yenu ni mkuu kuliko yeye aliye katika dunia.  Ye are of God, little children, and have overcome them: because greater is he that is in you, than he that is in the world. Waefeso 6:12 [12]Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho....

SOMO LA MSINGI.

Image
SIFA ZA MKRISTO. MHUBIRI: FAUSTINE GUTAPAKA. Warumi 12:9-21 [9]Pendo na lisiwe na unafiki lichukieni lililo ovu, mkiambatana na lililo jema.  Let love be without dissimulation. Abhor that which is evil; cleave to that which is good. [10]Kwa pendo la udugu, mpendane ninyi kwa ninyi; kwa heshima mkiwatanguliza wenzenu;  Be kindly affectioned one to another with brotherly love; in honour preferring one another; [11]kwa bidii, si walegevu; mkiwa na juhudi katika roho zenu; mkimtumikia Bwana;  Not slothful in business; fervent in spirit; serving the Lord; [12]kwa tumaini, mkifurahi; katika dhiki, mkisubiri; katika kusali, mkidumu;  Rejoicing in hope; patient in tribulation; continuing instant in prayer; [13]kwa mahitaji ya watakatifu, mkifuata ukarimu; katika kukaribisha wageni mkijitahidi.  Distributing to the necessity of saints; given to hospitality. [14]Wabarikini wanaowaudhi; barikini, wala msilaani.  Bless them which persecute you: bless, and curse not. [1...

SOMO LA MSINGI.

Image
Marko 10:29-30 [29]Yesu akasema, Amin, nawaambieni, Hakuna mtu aliyeacha nyumba, au ndugu waume, au ndugu wake, au mama, au baba, au watoto, au mashamba, kwa ajili yangu, na kwa ajili ya Injili,  And Jesus answered and said, Verily I say unto you, There is no man that hath left house, or brethren, or sisters, or father, or mother, or wife, or children, or lands, for my sake, and the gospel's, [30]ila atapewa mara mia sasa wakati huu, nyumba, na ndugu waume, na ndugu wake, na mama, na watoto, na mashamba, pamoja na udhia; na katika ulimwengu ujao uzima wa milele.  But he shall receive an hundredfold now in this time, houses, and brethren, and sisters, and mothers, and children, and lands, with persecutions; and in the world to come eternal life.

SOMO LA MSINGI.

Image
Yohana 10:11-13 [11]Mimi ndimi mchungaji mwema. Mchungaji mwema huutoa uhai wake kwa ajili ya kondoo. [12]Mtu wa mshahara, wala si mchungaji, ambaye kondoo si mali yake, humwona mbwa-mwitu anakuja, akawaacha kondoo na kukimbia; na mbwa-mwitu huwakamata na kuwatawanya. [13]Yule hukimbia kwa kuwa ni mtu wa mshahara; wala mambo ya kondoo si kitu kwake.   TRANSLATION: I am the good shepherd: the good shepherd giveth his life for the sheep. John:10:11 But he that is an hireling, and not the shepherd, whose own the sheep are not, seeth the wolf coming, and leaveth the sheep, and fleeth: and the wolf catcheth them, and scattereth the sheep. John:10:12 The hireling fleeth, because he is an hireling, and careth not for the sheep. John:10:13