Posts

Showing posts with the label Word Of God.

UTOAJI.

Image
UTOAJI. MHUBIRI: MCH. SAMSON BACHAHE Utangulizi. Luka 1:80 [80]Yule mtoto akakua, akaongezeka nguvu rohoni, akakaa majangwani hata siku ya kutokea kwake kwa Israeli.  And the child grew, and waxed strong in spirit, and was in the deserts till the day of his shewing unto Israel. SOMO. Mwanzo 28:16-22 [16]Yakobo akaamka katika usingizi wake, akasema, Kweli BWANA yupo mahali hapa, wala mimi sikujua.  And Jacob awaked out of his sleep, and he said, Surely the LORD is in this place; and I knew it not. [17]Naye akaogopa akasema, Mahali hapa panatisha kama nini! Bila shaka, hapa ni nyumba ya Mungu, napo ndipo lango la mbinguni.  And he was afraid, and said, How dreadful is this place! this is none other but the house of God, and this is the gate of heaven. [18]Yakobo akaondoka asubuhi na mapema, akalitwaa lile jiwe aliloliweka chini ya kichwa chake, akalisimamisha kama nguzo, na kumimina mafuta juu yake.  And Jacob rose up early in the morning, and took the stone that he ha...

SOMO LA MSINGI

Image
HEKIMA ITOKAYO KWA MUNGU. MHUBIRI: HAKIKA JONATHAN BUCHA. Mithali 1:7 [7]Kumcha BWANA ni chanzo cha maarifa, Bali wapumbavu hudharau hekima na adabu.  The fear of the LORD is the beginning of knowledge: but fools despise wisdom and instruction.

SOMO LA MSINGI.

Image
TUENDELEE KUZIKATAA NJIA ZA KIPAGANI. MHUBIRI: FAUSTINE GUTAPAKA. Waefeso 5:3-20 [3]Lakini uasherati usitajwe kwenu kamwe, wala uchafu wo wote wa kutamani, kama iwastahilivyo watakatifu;  But fornication, and all uncleanness, or covetousness, let it not be once named among you, as becometh saints; [4]wala aibu wala maneno ya upuzi wala ubishi; hayo hayapendezi; bali afadhali kushukuru.  Neither filthiness, nor foolish talking, nor jesting, which are not convenient: but rather giving of thanks. [5]Maana neno hili mnalijua hakika, ya kwamba hakuna mwasherati wala mchafu wala mwenye tamaa, ndiye mwabudu sanamu, aliye na urithi katika ufalme wa Kristo na Mungu.  For this ye know, that no whoremonger, nor unclean person, nor covetous man, who is an idolater, hath any inheritance in the kingdom of Christ and of God. [6]Mtu asiwadanganye kwa maneno yasiyo na maana; kwa kuwa kwa sababu ya hayo hasira ya Mungu huwajia wana wa uasi.  Let no man deceive you with vain words: for...