Posts

Showing posts with the label Mahubiri

SOMO LA MSINGI.

Image
KUHUSU KUMWIBIA MUNGU . MHUBIRI: FAUSTINE GUTAPAKA. Malaki 3:7-14 [7]Tokea siku za baba zenu mmegeuka upande, mkayaacha maagizo yangu, wala hamkuyashika. Nirudieni mimi, nami nitawarudia ninyi, asema BWANA wa majeshi. Lakini ninyi mwasema, Turudi kwa namna gani?  Even from the days of your fathers ye are gone away from mine ordinances, and have not kept them. Return unto me, and I will return unto you, saith the LORD of hosts. But ye said, Wherein shall we return? [8]Je! Mwanadamu atamwibia Mungu? Lakini ninyi mnaniibia mimi. Lakini ninyi mwasema, Tumekuibia kwa namna gani? Mmeniibia zaka na dhabihu.  Will a man rob God? Yet ye have robbed me. But ye say, Wherein have we robbed thee? In tithes and offerings. [9]Ninyi mmelaaniwa kwa laana; maana mnaniibia mimi, naam, taifa hili lote.  Ye are cursed with a curse: for ye have robbed me, even this whole nation. [10]Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema BWANA wa ma...