KUMBUKA NI WAPI ULIPOANGUKA
KUMBUKA NI WAPI ULIPOANGUKA. MHUBIRI: MCH. JONATHAN BUCHA. Ufunuo wa Yohana 2:1-7 [1]Kwa malaika wa kanisa lililoko Efeso andika; Haya ndiyo anenayo yeye azishikaye hizo nyota saba katika mkono wake wa kuume, yeye aendaye katikati ya vile vinara saba vya dhahabu. Unto the angel of the church of Ephesus write; These things saith he that holdeth the seven stars in his right hand, who walketh in the midst of the seven golden candlesticks; [2]Nayajua matendo yako, na taabu yako, na subira yako, na ya kuwa huwezi kuchukuliana na watu wabaya, tena umewajaribu wale wajiitao mitume, nao sio, ukawaona kuwa waongo; I know thy works, and thy labour, and thy patience, and how thou canst not bear them which are evil: and thou hast tried them which say they are apostles, and are not, and hast found them liars: [3]tena ulikuwa na subira na kuvumilia kwa ajili ya jina langu, wala hukuchoka. And hast borne, and hast patience, and for my name's sake hast laboured, and hast not fai...