Posts

Showing posts with the label Neno la Mungu

YESU ANAKUJA

Image
YESU ANAKUJA . Mhubiri: Mch. Jonathan Bucha. Mathayo 3:1-12 [1] Siku zile aliondokea Yohana Mbatizaji akihubiri katika nyika ya Uyahudi, na kusema,  In those days came John the Baptist, preaching in the wilderness of Judaea, [2]Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia.  And saying, Repent ye: for the kingdom of heaven is at hand. [3]Kwa sababu huyo ndiye aliyenenwa na nabii Isaya, akisema,  Sauti ya mtu aliaye nyikani,  Itengenezeni njia ya Bwana,  Yanyosheni mapito yake.  For this is he that was spoken of by the prophet Esaias, saying, The voice of one crying in the wilderness, Prepare ye the way of the Lord, make his paths straight. [4]Naye Yohana mwenyewe alikuwa na vazi lake la singa za ngamia, na mshipi wa ngozi kiunoni mwake; na chakula chake kilikuwa nzige na asali ya mwitu.  And the same John had his raiment of camel's hair, and a leathern girdle about his loins; and his meat was locusts and wild honey. [5]Ndipo walipomwendea Yerusalemu,...

WENYE UKOMA 10.

Image
WENYE UKOMA 10. MHUBIRI: MCH. JONATHAN BUCHA. Luka 17:11-17 Sisi kama wakoma kumi. Maana ya UKOMA ni dhambi. Tumrudie Mungu kama yule mmoja kati ya kumi. Tisa hawakumkumbuka Mungu baada ya kufanikiwa. Tunapomkumbuka Mungu naye atatupokea. Hii humaanisha kuwa katika Mafanikio tuwe na shukrani tumkumbuke Mungu aliye tupa uhai tusimsahau.Amina . [11]Ikawa walipokuwa njiani kwenda Yerusalemu, alikuwa akipita katikati ya Samaria na Galilaya.  And it came to pass, as he went to Jerusalem, that he passed through the midst of Samaria and Galilee. [12]Na alipoingia katika kijiji kimoja, alikutana na watu kumi wenye ukoma; wakasimama mbali,  And as he entered into a certain village, there met him ten men that were lepers, which stood afar off: [13]wakapaza sauti wakisema, Ee Yesu, Bwana mkubwa, uturehemu!  And they lifted up their voices, and said, Jesus, Master, have mercy on us. [14]Alipowaona aliwaambia, Enendeni, mkajionyeshe kwa makuhani. Ikawa walipokuwa wakienda walitakasika...

Mwana Mpotevu.

Image
MWANA MPOTEVU. MHUBIRI: MCH. JONATHAN BUCHA. Luka 15:11-25 [11]Akasema, Mtu mmoja alikuwa na wana wawili;  And he said, A certain man had two sons: [12]yule mdogo akamwambia babaye, Baba, nipe sehemu ya mali inayoniangukia. Akawagawia vitu vyake.  And the younger of them said to his father, Father, give me the portion of goods that falleth to me. And he divided unto them his living. [13]Hata baada ya siku si nyingi, yule mdogo akakusanya vyote, akasafiri kwenda nchi ya mbali; akatapanya mali zake huko kwa maisha ya uasherati.  And not many days after the younger son gathered all together, and took his journey into a far country, and there wasted his substance with riotous living. [14]Alipokuwa amekwisha tumia vyote, njaa kuu iliingia nchi ile, yeye naye akaanza kuhitaji.  And when he had spent all, there arose a mighty famine in that land; and he began to be in want. [15]Akaenda akashikamana na mwenyeji mmoja wa nchi ile; naye alimpeleka shambani kwake kulisha nguruw...

Namna ya Kuchagua Ushauri.

Image
KUHUSU USHAURI. Watu wengi wamefikia hatua ya kudharau ushauri wa wazee ambao wameyaona mengi na kuishi katika mambo mengi ama katika Huduma ya Mungu au maisha ya kawaida. Wazee sio katika kigezo cha umri tu bali hata uzoefu pia. Tusipuuze ushauri wa wazoefu katika kada mbalimbali. Kwa mfano. Juzi nilipita kwa mpendwa mmoja anayefanya biashara ya mazao mnadani. Inawezekana wakati anataka kuanza biashara hiyo alionana kwanza na wazee (Wazoefu) akawaomba ushauri namna ya kufanikiwa. N.k 1 Wafalme 12:1-14 [1]Rehoboamu akaenda Shekemu; maana Israeli wote walikuwa wamekwenda Shekemu, ili kumfanya mfalme.  And Rehoboam went to Shechem: for all Israel were come to Shechem to make him king. [2]Ikawa Yeroboamu mwana wa Nebati alipopata habari (maana alikuwa akaliko Misri, huko alikokimbilia awe mbali na mfalme Sulemani; Yeroboamu akakaa huko Misri,  And it came to pass, when Jeroboam the son of Nebat, who was yet in Egypt, heard of it, (for he was fled from the presence of king Solomon...

WAMWISHO WATAKUWA WAKWANZA.

Image
WAMWISHO WATAKUWA WAKWANZA. MHUBIRI: FAUSTINE GUTAPAKA. Tarehe 07 Julai 2024. Mathayo 19:30 [30]Lakini wengi walio wa kwanza watakuwa wa mwisho, na walio wa mwisho watakuwa wa kwanza.  But many that are first shall be last; and the last shall be first. Marejeo. Mathayo 20:1-16 [1]Kwa maana ufalme wa mbinguni umefanana na mtu mwenye nyumba aliyetoka alfajiri kwenda kuajiri wakulima awapeleke katika shamba lake la mizabibu.  For the kingdom of heaven is like unto a man that is an householder, which went out early in the morning to hire labourers into his vineyard. [2]Naye alipokwisha kupatana na wakulima kuwapa kutwa dinari, aliwapeleka katika shamba lake la mizabibu.  And when he had agreed with the labourers for a penny a day, he sent them into his vineyard. [3]Akatoka mnamo saa tatu, akaona wengine wamesimama sokoni wasiokuwa na kazi;  And he went out about the third hour, and saw others standing idle in the marketplace, [4]na hao nao akawaambia, Enendeni nanyi kati...

NIAMBIE ASILI YA NGUVU ZAKO.

Image
NIAMBIE ASILI YA NGUVU ZAKO . MHUBIRI: MCH. JONATHAN BUCHA. Waamuzi 16:15-22 Samson ni mtoto wa mtu mmoja aliyeitwa Manoa na  wake hakutajwa. Mke wa Manoa alikuwa tasa.  Malaika wa Bwana aliwatokea na kusema watapata mtoto naye huyo mtoto asije akanyolewa nywele naye wazazi wake wasiwe najisi wala kutumia mvinyo. Samson alitengwa na Mungu kuwa mtumishi wake, ndivyo ilivyo kwetu sote. Samson anachaguliwa wakati ambao Israel haina mfalme bali Waamuzi. Kwa hiyo Samson alisimama baada ya Waamuzi wengine kupita.  Wafilist ni miongoni mwa mataifa yaliyopigana vita muda mrefu na Israel. Samson anainuliwa wakati ambao wana wa Israel wako katika mateso makali na yeye aliinuliwa kama mkombozi wao. Delila alikuwa mwanamke wa kifilisti aliyekuwa kahaba na kupendwa na Samson ( Nafikiri ni mpango wa Mungu) japokuwa Delila hakuwa na ushuda mzuri. Samson alimpenda sana Delila bila kujali kuwa anatoka katika maadui zake. Kwa sababu hiyo, Delila alifanyika mtego kwa Samson.  Mungu ali...

KUTII WITO.

Image
KUTII WITO. MHUBIRI: OPTATUS GERSHON. Isaya 6:8 [8]Kisha nikaisikia sauti ya Bwana, akisema, Nimtume nani, naye ni nani atakayekwenda kwa ajili yetu? Ndipo niliposema, Mimi hapa, nitume mimi.  Also I heard the voice of the Lord, saying, Whom shall I send, and who will go for us? Then said I, Here am I; send me. Marejeo: Zaburi 119:9 [9]Jinsi gani kijana aisafishe njia yake?  Kwa kutii, akilifuata neno lako.  BETH. Wherewithal shall a young man cleanse his way? by taking heed thereto according to thy word.

USIKATISHE TAMAA WENGINE.

Image
USIKATISHE TAMAA WENGINE. MHUBIRI: MCH. JONATHAN BUCHA. Hesabu 13:25-33 [25]Wakarejea baada ya kuipeleleza nchi, mwisho wa siku arobaini.  And they returned from searching of the land after forty days. [26]Wakaenda wakafika kwa Musa, na kwa Haruni, na kwa mkutano wote wa wana wa Israeli, katika jangwa la Parani, huko Kadeshi; wakawaletea habari, wao na mkutano wote, wakawaonyesha matunda ya nchi.  And they went and came to Moses, and to Aaron, and to all the congregation of the children of Israel, unto the wilderness of Paran, to Kadesh; and brought back word unto them, and unto all the congregation, and shewed them the fruit of the land. [27]Wakamwambia wakasema, Tulifika nchi ile uliyotutuma, na hakika yake, ni nchi yenye wingi wa maziwa na asali, na haya ndiyo matunda yake.  And they told him, and said, We came unto the land whither thou sentest us, and surely it floweth with milk and honey; and this is the fruit of it. [28]Lakini watu wanaokaa katika nchi ile ni hodar...

KULEA WATOTO BILA UPENDELEO.

Image
KULEA WATOTO BILA UPENDELEO. MHUBIRI: HAKIKA J BUCHA. Mwanzo 27:1-40 [1]Ikawa Isaka alipokuwa mzee, na macho yake yamepofuka asione, akamwita Esau, mwanawe mkubwa, akamwambia, Mwanangu. Naye akamwitikia, Mimi hapa.  And it came to pass, that when Isaac was old, and his eyes were dim, so that he could not see, he called Esau his eldest son, and said unto him, My son: and he said unto him, Behold, here am I. [2]Akasema, Tazama, sasa mimi nimekuwa mzee, wala sijui siku ya kufa kwangu.  And he said, Behold now, I am old, I know not the day of my death: [3]Basi, nakuomba, chukua mata yako, podo lako na upinde wako, ukaende nyikani uniwindie mawindo;  Now therefore take, I pray thee, thy weapons, thy quiver and thy bow, and go out to the field, and take me some venison; [4]ukanifanyie chakula kitamu namna ile niipendayo, ukaniletee, ili nile; na roho yangu ikubariki, kabla sijafa.  And make me savoury meat, such as I love, and bring it to me, that I may eat; that my soul m...

SISI TULIO NA NGUVU.

Image
SISI TULIO NA NGUVU. MHUBIRI: OPTATUS GERSHON. Warumi 15:1-3 [1]Basi imetupasa sisi tulio na nguvu kuuchukua udhaifu wao wasio na nguvu, wala haitupasi kujipendeza wenyewe.  We then that are strong ought to bear the infirmities of the weak, and not to please ourselves. [2]Kila mtu miongoni mwetu na ampendeze jirani yake, apate wema, akajengwe.  Let every one of us please his neighbour for his good to edification. [3]Kwa maana Kristo naye hakujipendeza mwenyewe; bali kama ilivyoandikwa, Malaumu yao waliokulaumu wewe yalinipata mimi.  For even Christ pleased not himself; but, as it is written, The reproaches of them that reproached thee fell on me. Walio na Nguvu ni akina nani? Ni wale waliojawa na Roho Mtakatifu.  Hata hivyo, Nguvu zetu hudhihirishwa tujaribiwapo.  Kila mmoja Kanisani ana Nguvu zake na Nguvu hizo hutegemea sana kiasi cha Imani alicho nacho mtu husika. Ni vizuri kuepuka kujipenda bali tuwapendeze jirani zetu. Maana hawa majirani ndio mabarozi wetu...

SHETANI ANAVYOWEZA KUMTUMIA MTU WA KARIBU.

Image
SHETANI ANAVYOWEZA KUMTUMIA MTU WA KARIBU . MHUBIRI: HAKIKA JONATHAN. Mathayo 16:23 [23]Akageuka, akamwambia Petro, Nenda nyuma yangu, Shetani; u kikwazo kwangu; maana huyawazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu.  But he turned, and said unto Peter, Get thee behind me, Satan: thou art an offence unto me: for thou savourest not the things that be of God, but those that be of men. MAREJEO: Yohana 13:4-15 [4]aliondoka chakulani; akaweka kando mavazi yake, akatwaa kitambaa, akajifunga kiunoni.  He riseth from supper, and laid aside his garments; and took a towel, and girded himself. [5]Kisha akatia maji katika bakuli, akaanza kuwatawadha wanafunzi miguu, na kuifuta kwa kile kitambaa alichojifunga.  After that he poureth water into a bason, and began to wash the disciples' feet, and to wipe them with the towel wherewith he was girded. [6]Hivyo yuaja kwa Simoni Petro. Huyo akamwambia, Bwana! Wewe wanitawadha miguu mimi?  Then cometh he to Simon Peter: and Peter saith unto h...

KUILINDA IMANI.

Image
KUILINDA IMANI. MHUBIRI: MCH. JONATHAN BUCHA. Danieli 1:6-16 [6]Basi katika hao walikuwapo baadhi ya wana wa Yuda, Danieli, na Hanania, na Mishaeli, na Azaria.  Now among these were of the children of Judah, Daniel, Hananiah, Mishael, and Azariah: [7]Mkuu wa matowashi akawapa majina; alimwita Danieli, Belteshaza; na Hanania akamwita Shadraka; na Mishaeli akamwita Meshaki; na Azaria akamwita Abednego.  Unto whom the prince of the eunuchs gave names: for he gave unto Daniel the name of Belteshazzar; and to Hananiah, of Shadrach; and to Mishael, of Meshach; and to Azariah, of Abednego. [8]Lakini Danieli aliazimu moyoni mwake ya kuwa hatajitia unajisi kwa chakula cha mfalme, wala kwa divai aliyokunywa; basi akamwomba yule mkuu wa matowashi ampe ruhusa asijitie unajisi.  But Daniel purposed in his heart that he would not defile himself with the portion of the king's meat, nor with the wine which he drank: therefore he requested of the prince of the eunuchs that he might not de...

FAIDA ZA KUWA MWAMINIFU KWA MUNGU.

Image
FAIDA ZA KUWA MWAMINIFU KWA MUNGU. . MHUBIRI: MCH. JONATHAN BUCHA. Danieli 1:17-21 [17]Basi, kwa habari za hao vijana wanne, Mungu aliwapa maarifa na ujuzi katika elimu na hekima; Danieli naye alikuwa na ufahamu katika maono yote, na ndoto.  As for these four children, God gave them knowledge and skill in all learning and wisdom: and Daniel had understanding in all visions and dreams. [18]Hata mwisho wa siku zile alizoziagiza mfalme za kuwaingiza, mkuu wa matowashi akawaingiza mbele ya mfalme Nebukadreza.  Now at the end of the days that the king had said he should bring them in, then the prince of the eunuchs brought them in before Nebuchadnezzar. [19]Naye mfalme akazungumza nao; na miongoni mwao wote hawakuonekana waliokuwa kama Danieli, na Hanania, na Mishaeli, na Azaria; kwa hiyo wakasimama mbele ya mfalme.  And the king communed with them; and among them all was found none like Daniel, Hananiah, Mishael, and Azariah: therefore stood they before the king. [20]Na katik...

PRAYERS FOR THE GOD'S GLORY.

Image
PRAYERS FOR THE GOD'S GLORY. PREACHER: FAUSTINE GUTAPAKA. DATE: 18/02/2024. ‭‭Matthew‬ ‭26:36‭-‬45‬ ‭NIV‬‬ [36] Then Jesus went with his disciples to a place called Gethsemane, and he said to them, “Sit here while I go over there and pray.” [37] He took Peter and the two sons of Zebedee along with him, and he began to be sorrowful and troubled. [38] Then he said to them, “My soul is overwhelmed with sorrow to the point of death. Stay here and keep watch with me.” [39] Going a little farther, he fell with his face to the ground and prayed, “My Father, if it is possible, may this cup be taken from me. Yet not as I will, but as you will.” [40] Then he returned to his disciples and found them sleeping. “Couldn’t you men keep watch with me for one hour?” he asked Peter. [41] “Watch and pray so that you will not fall into temptation. The spirit is willing, but the flesh is weak.” [42] He went away a second time and prayed, “My Father, if it is not possible for this cup to be taken away u...

KUMSIKILIZA MUNGU.

Image
KUMSIKILIZA MUNGU. MCH. JONATHAN BUCHA Matendo ya Mitume 4:13-21 [13]Basi walipoona ujasiri wa Petro na Yohana, na kuwajua ya kuwa ni watu wasio na elimu, wasio na maarifa, wakastaajabu, wakawatambua ya kwamba walikuwa pamoja na Yesu.  Now when they saw the boldness of Peter and John, and perceived that they were unlearned and ignorant men, they marvelled; and they took knowledge of them, that they had been with Jesus. [14]Na wakimwona yule aliyeponywa akisimama pamoja nao hawakuwa na neno la kujibu.  And beholding the man which was healed standing with them, they could say nothing against it. [15]Wakawaamuru kutoka katika baraza, wakafanya shauri wao kwa wao,  But when they had commanded them to go aside out of the council, they conferred among themselves, [16]wakisema, Tuwafanyie nini watu hawa? Maana ni dhahiri kwa watu wote wakaao Yerusalemu ya kwamba ishara mashuhuri imefanywa nao, wala hatuwezi kuikana.  Saying, What shall we do to these men? for that indeed a ...

MANENO YA MWISHO.

Image
MANENO YA MWISHO. MHUBIRI: HAKIKA JONATHAN BUCHA. 2 Wakorintho 13:11 [11]Hatimaye, ndugu, kwaherini; mtimilike, mfarijike, nieni mamoja, mkae katika amani; na Mungu wa upendo na amani atakuwa pamoja nanyi.  Finally, brethren, farewell. Be perfect, be of good comfort, be of one mind, live in peace; and the God of love and peace shall be with you.

UPANGA.

Image
UPANGA HAUTAONDOKA NYUMBANI MWAKO. MHUBIRI: MCH. JONATHAN BUCHA 2 Samweli 12:7-15 [7]Basi Nathani akamwambia Daudi, Wewe ndiwe mtu huyo. BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Nalikutia mafuta, uwe mfalme juu ya Israeli, nikakuokoa na mkono wa Sauli;  And Nathan said to David, Thou art the man. Thus saith the LORD God of Israel, I anointed thee king over Israel, and I delivered thee out of the hand of Saul; [8]nami nikakupa nyumba ya bwana wako, na wake za bwana wako kifuani mwako; nikakupa nyumba ya Israeli na ya Yuda; na kama hayo yangalikuwa machache, ningalikuongezea mambo kadha wa kadha.  And I gave thee thy master's house, and thy master's wives into thy bosom, and gave thee the house of Israel and of Judah; and if that had been too little, I would moreover have given unto thee such and such things. [9]Kwa nini umelidharau neno la BWANA, na kufanya yaliyo mabaya machoni pake? Umempiga Uria, Mhiti, kwa upanga, nawe umemtwaa mkewe awe mke wako, nawe umemwua huyo kwa upanga w...

KUCHUKUA MADHAIFU YA WENGINE.

Image
KUCHUKUA MADHAIFU YA WENGINE. MHUBIRI: H AKIK A JB Mathayo 11:12 [12]Tangu siku za Yohana Mbatizaji hata sasa ufalme wa mbinguni hupatikana kwa nguvu, nao wenye nguvu wauteka.  And from the days of John the Baptist until now the kingdom of heaven suffereth violence, and the violent take it by force. Warumi 15:1 [1]Basi imetupasa sisi tulio na nguvu kuuchukua udhaifu wao wasio na nguvu, wala haitupasi kujipendeza wenyewe.  We then that are strong ought to bear the infirmities of the weak, and not to please ourselves.

UAMUZI WA KUJENGA UKUTA.

Image
UAMUZI WA KUJENGA UKUTA. MUHUBIRI: FAUSTINE GUTAPA KA. Nehemia 2:17-20 [17]Kisha nikawaambia, Mnaona hali hii dhaifu tuliyo nayo, jinsi Yerusalemu ulivyo hali ya ukiwa, na malango yake yalivyoteketezwa kwa moto; haya! Na tuujenge tena ukuta wa Yerusalemu, ili tusiwe shutumu tena.  Then said I unto them, Ye see the distress that we are in, how Jerusalem lieth waste, and the gates thereof are burned with fire: come, and let us build up the wall of Jerusalem, that we be no more a reproach. [18]Nikawaeleza habari ya mkono wa Mungu wangu ulivyokuwa mwema juu yangu; pia na maneno ya mfalme aliyoniambia. Nao wakasema, Haya! Na tuondoke tukajenge. Basi wakaitia mikono yao nguvu kwa kazi hiyo njema.  Then I told them of the hand of my God which was good upon me; as also the king's words that he had spoken unto me. And they said, Let us rise up and build. So they strengthened their hands for this good work. [19]Lakini waliposikia Sanbalati, Mhoroni, na Tobia, mtumishi wake, Mwamoni, na ...

KUMKUBALI YESU.

Image
KUMKUBALI YESU. MHUBIRI: RAJABU GERALD: Yohana 4:7-28 [7]Akaja mwanamke Msamaria kuteka maji. Yesu akamwambia, Nipe maji ninywe.  There cometh a woman of Samaria to draw water: Jesus saith unto her, Give me to drink. [8]Kwa maana wanafunzi wake wamekwenda mjini kununua chakula.  (For his disciples were gone away unto the city to buy meat.) [9]Basi yule mwanamke Msamaria akamwambia, Imekuwaje wewe Myahudi kutaka maji kwangu, nami ni mwanamke Msamaria? (Maana Wayahudi hawachangamani na Wasamaria.)  Then saith the woman of Samaria unto him, How is it that thou, being a Jew, askest drink of me, which am a woman of Samaria? for the Jews have no dealings with the Samaritans. [10]Yesu akajibu, akamwambia, Kama ungaliijua karama ya Mungu, naye ni nani akuambiaye, Nipe maji ninywe, ungalimwomba yeye, naye angalikupa maji yaliyo hai.  Jesus answered and said unto her, If thou knewest the gift of God, and who it is that saith to thee, Give me to drink; thou wouldest have asked ...