TANGAZO.

Shule Yetu ya Kanisa la Baptist Murubona iliyopo Mji wa Kasulu mkoani Kigoma inawatangazia Wazazi na Walezi Wote nafasi za masomo kwa muhula mpya wa 2022/2023. ✓Tuna mazingira mazuri ya kufundishia, kujifunzia, na kucheza pia. ✓Walimu wenye Taaluma na ubobezi katika ufundishaji pia Wapo. ✓Tunawafundisha watoto nidhamu ya Hali ya juu bila kuathiri mafundisho ya imani zao. ✓Tuamini ili tumlee mtoto wako kwa kumpatia Elimu iliyo Bora na yenye Viwango vya juu.