SOMO LA MSINGI.

KUJITAHIDI KUELEKEA KWA YESU KRISTO. MHUBIRI: WINFRIDA JONATHAN RUSAMA. Wafilipi 3:12-21 [12]Si kwamba nimekwisha kufika, au nimekwisha kuwa mkamilifu; la! Bali nakaza mwendo ili nipate kulishika lile ambalo kwa ajili yake nimeshikwa na Kristo Yesu. Not as though I had already attained, either were already perfect: but I follow after, if that I may apprehend that for which also I am apprehended of Christ Jesus. [13]Ndugu, sijidhanii nafsi yangu kwamba nimekwisha kushika; ila natenda neno moja tu; nikiyasahau yaliyo nyuma, nikiyachuchumilia yaliyo mbele; Brethren, I count not myself to have apprehended: but this one thing I do, forgetting those things which are behind, and reaching forth unto those things which are before, [14]nakaza mwendo, niifikilie mede ya thawabu ya mwito mkuu wa Mungu katika Kristo Yesu. I press toward the mark for the prize of the high calling of God in Christ Jesus. [15]Basi sisi tulio wakamilifu na tuwaze hayo; na hata mkiwaza mengine katika ja...