Posts

Showing posts with the label Kanisani

SOMO LA MSINGI.

Image
CHUKULIANENI MIZIGO. MHUBIRI: WINFRIDA JONATHAN. Wagalatia 6:1-10 [1]Ndugu zangu, mtu akighafilika katika kosa lo lote, ninyi mlio wa Roho mrejezeni upya mtu kama huyo kwa roho ya upole, ukijiangalia nafsi yako usije ukajaribiwa wewe mwenyewe.  Brethren, if a man be overtaken in a fault, ye which are spiritual, restore such an one in the spirit of meekness; considering thyself, lest thou also be tempted. [2]Mchukuliane mizigo na kuitimiza hivyo sheria ya Kristo.  Bear ye one another's burdens, and so fulfil the law of Christ. [3]Maana mtu akijiona kuwa ni kitu, naye si kitu, ajidanganya nafsi yake.  For if a man think himself to be something, when he is nothing, he deceiveth himself. [4]Lakini kila mtu na aipime kazi yake mwenyewe, ndipo atakapokuwa na sababu ya kujisifu ndani ya nafsi yake tu, wala si kwa mwenzake.  But let every man prove his own work, and then shall he have rejoicing in himself alone, and not in another. [5]Maana kila mtu atalichukua furushi lake ...