SOMO LA MSINGI.

CHUMVI NA NURU. MHUBIRI: MCH. JONATHAN BUCHA. Mathayo 5:13-16 [13]Ninyi ni chumvi ya dunia; lakini chumvi ikiwa imeharibika itatiwa nini hata ikolee? Haifai tena kabisa, ila kutupwa nje na kukanyagwa na watu. Ye are the salt of the earth: but if the salt have lost his savour, wherewith shall it be salted? it is thenceforth good for nothing, but to be cast out, and to be trodden under foot of men. [14]Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji hauwezi kusitirika ukiwa juu ya mlima. Ye are the light of the world. A city that is set on an hill cannot be hid. [15]Wala watu hawawashi taa na kuiweka chini ya pishi, bali juu ya kiango; nayo yawaangaza wote waliomo nyumbani. Neither do men light a candle, and put it under a bushel, but on a candlestick; and it giveth light unto all that are in the house. [16]Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni. Let your light so shine before men, that they may see your...