TANGAZO.

Shule Yetu ya Kanisa la Baptist Murubona iliyopo Mji wa Kasulu mkoani Kigoma inawatangazia Wazazi na Walezi Wote nafasi za masomo kwa muhula mpya wa 2022/2023.

✓Tuna mazingira mazuri ya kufundishia, kujifunzia, na kucheza pia.

✓Walimu wenye Taaluma na ubobezi katika ufundishaji pia Wapo.

✓Tunawafundisha watoto nidhamu ya Hali ya juu bila kuathiri mafundisho ya imani zao.

✓Tuamini ili tumlee mtoto wako kwa kumpatia Elimu iliyo Bora na yenye Viwango vya juu.


Comments