KOZI ZA BIBLIA MTANDAONI.

Bwana Yesu asifiwe!
Ninapenda kuwaalika wakristo wote wenye uwezo wa kufahamu kiingereza vizuri kwa kusoma na kuandika kujiunga na kozi za bure ili kuendelea kukuza uelewa wa elimu ya dini.

Katika kozi hizi vyeti vitatolewa kulingana na umahili wa kushiriki na kujibu maswali kwa usahihi. Kila baada ya somo moja mshirika atatakiwa kujibu maswali machache ya kuchagua na kujieleza.

Ili kujiunga na kozi hizi bonyeza KUJIUNGA NA KOZI.

Comments