SOMO LA MSINGI.

Matendo ya Mitume 26:9-15
[9]Kweli, mimi mwenyewe naliona ndani ya nafsi yangu kwamba yanipasa kutenda mambo mengi yaliyopingamana na jina lake Yesu Mnazareti;
[10]nami nikayafanya hayo Yerusalemu; niliwafunga wengi miongoni mwa watakatifu ndani ya magereza, nikiisha kupewa amri na wakuu wa makuhani; na walipouawa nalitoa idhini yangu.
[11]Na mara nyingi katika masinagogi yote naliwaadhibu, nikawashurutisha kukufuru; nikawaonea hasira kama mwenye wazimu, nikawaudhi hata katika miji ya ugenini.
[12]Basi katika kazi hiyo nilipokuwa nikienda Dameski, mwenye mamlaka na maagizo ya wakuu wa makuhani;
[13]Ee Mfalme, ndipo wakati wa adhuhuri njiani naliona nuru inatoka mbinguni ipitayo mwangaza wa jua, ikinimulikia mimi, na wale waliofuatana nami pande zote.
[14]Tukaanguka nchi sote, nikasikia sauti ikisema nami kwa lugha ya kiebrania, Sauli! Sauli! Mbona waniudhi? Ni vigumu kwako kuupiga mateke mchokoo.
[15]Nami nikasema, Wewe u nani, Bwana? Bwana akaniambia, Mimi ni Yesu, ambaye wewe unaniudhi.

TRANSLATION:

I myself was convinced that I ought to do many things in opposing the name of c Jesus of Nazareth. 10#d And I did so in Jerusalem. I not only locked up many of the saints in prison after receiving authority e from the chief priests, but f when they were put to death I cast my vote against them. 11#And g I punished them often in all the synagogues and tried to make them h blaspheme, and i in raging fury against them I j persecuted them even to foreign cities.

Paul Tells of His Conversion


12#“In this connection k I journeyed to Damascus with the authority and commission of the chief priests. 13#At midday, O king, I saw on the way a light from heaven, brighter than the sun, that shone around me and those who journeyed with me. 14#And when we had all fallen to the ground, I heard a voice saying to me l in the Hebrew language, 1 ‘Saul, Saul, why are you persecuting me? It is hard for you to kick against the goads.’ 15#And I said, ‘Who are you, Lord?’ And the Lord.


Comments