SOMO LA MSINGI.

Nehemia 2:17-20
[17]Kisha nikawaambia, Mnaona hali hii dhaifu tuliyo nayo, jinsi Yerusalemu ulivyo hali ya ukiwa, na malango yake yalivyoteketezwa kwa moto; haya! Na tuujenge tena ukuta wa Yerusalemu, ili tusiwe shutumu tena.
[18]Nikawaeleza habari ya mkono wa Mungu wangu ulivyokuwa mwema juu yangu; pia na maneno ya mfalme aliyoniambia. Nao wakasema, Haya! Na tuondoke tukajenge. Basi wakaitia mikono yao nguvu kwa kazi hiyo njema.
[19]Lakini waliposikia Sanbalati, Mhoroni, na Tobia, mtumishi wake, Mwamoni, na Geshemu, Mwarabu, walitucheka, wakatudharau, wakasema, Ni nini neno hili mnalofanya? Je! Mtaasi ninyi juu ya mfalme?
[20]Ndipo nikawajibu, nikawaambia, Mungu wa mbinguni, yeye atatufanikisha; kwa hiyo sisi, watumishi wake, tutaondoka na kujenga; lakini ninyi hamna sehemu, wala haki, wala kumbukumbu, katika Yerusalemu.

TRANSLATION:

Then I said to them, “You see the trouble we are in, t how Jerusalem lies in ruins with its gates burned. Come, let us build the wall of Jerusalem, that we may no longer u suffer derision.” 18#And I told them v of the hand of my God that had been upon me for good, and also of the words that the king had spoken to me. And they said, “Let us rise up and build.” w So they strengthened their hands for the good work. 19#But when Sanballat the Horonite and Tobiah the Ammonite servant and x Geshem the Arab heard of it, y they jeered at us and despised us and said, “What is this thing that you are doing? z Are you rebelling against the king?” 20#Then I replied to them, a “The God of heaven will make us prosper, and we his servants will arise and build, but you have no portion or right or claim 1 in Jerusalem.” 

Comments