SOMO LA MSINGI.
CHUKULIANENI MIZIGO.
MHUBIRI: WINFRIDA JONATHAN.
Wagalatia 6:1-10
[1]Ndugu zangu, mtu akighafilika katika kosa lo lote, ninyi mlio wa Roho mrejezeni upya mtu kama huyo kwa roho ya upole, ukijiangalia nafsi yako usije ukajaribiwa wewe mwenyewe.
Brethren, if a man be overtaken in a fault, ye which are spiritual, restore such an one in the spirit of meekness; considering thyself, lest thou also be tempted.
[2]Mchukuliane mizigo na kuitimiza hivyo sheria ya Kristo.
Bear ye one another's burdens, and so fulfil the law of Christ.
[3]Maana mtu akijiona kuwa ni kitu, naye si kitu, ajidanganya nafsi yake.
For if a man think himself to be something, when he is nothing, he deceiveth himself.
[4]Lakini kila mtu na aipime kazi yake mwenyewe, ndipo atakapokuwa na sababu ya kujisifu ndani ya nafsi yake tu, wala si kwa mwenzake.
But let every man prove his own work, and then shall he have rejoicing in himself alone, and not in another.
[5]Maana kila mtu atalichukua furushi lake mwenyewe.
For every man shall bear his own burden.
[6]Mwanafunzi na amshirikishe mkufunzi wake katika mema yote.
Let him that is taught in the word communicate unto him that teacheth in all good things.
[7]Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.
Be not deceived; God is not mocked: for whatsoever a man soweth, that shall he also reap.
[8]Maana yeye apandaye kwa mwili wake, katika mwili wake atavuna uharibifu; bali yeye apandaye kwa Roho, katika Roho atavuna uzima wa milele.
For he that soweth to his flesh shall of the flesh reap corruption; but he that soweth to the Spirit shall of the Spirit reap life everlasting.
[9]Tena tusichoke katika kutenda mema; maana tutavuna kwa wakati wake, tusipozimia roho.
And let us not be weary in well doing: for in due season we shall reap, if we faint not.
[10]Kwa hiyo kadiri tupatavyo nafasi na tuwatendee watu wote mema; na hasa jamaa ya waaminio.
As we have therefore opportunity, let us do good unto all men, especially unto them who are of the household of faith.
Comments
Post a Comment