SOMO LA MSINGI.

SIFA ZA MKRISTO.
MHUBIRI: FAUSTINE GUTAPAKA.
Warumi 12:9-21
[9]Pendo na lisiwe na unafiki lichukieni lililo ovu, mkiambatana na lililo jema. 
Let love be without dissimulation. Abhor that which is evil; cleave to that which is good.
[10]Kwa pendo la udugu, mpendane ninyi kwa ninyi; kwa heshima mkiwatanguliza wenzenu; 
Be kindly affectioned one to another with brotherly love; in honour preferring one another;
[11]kwa bidii, si walegevu; mkiwa na juhudi katika roho zenu; mkimtumikia Bwana; 
Not slothful in business; fervent in spirit; serving the Lord;
[12]kwa tumaini, mkifurahi; katika dhiki, mkisubiri; katika kusali, mkidumu; 
Rejoicing in hope; patient in tribulation; continuing instant in prayer;
[13]kwa mahitaji ya watakatifu, mkifuata ukarimu; katika kukaribisha wageni mkijitahidi. 
Distributing to the necessity of saints; given to hospitality.
[14]Wabarikini wanaowaudhi; barikini, wala msilaani. 
Bless them which persecute you: bless, and curse not.
[15]Furahini pamoja nao wafurahio; lieni pamoja nao waliao. 
Rejoice with them that do rejoice, and weep with them that weep.
[16]Mpatane nia zenu ninyi kwa ninyi. Msinie yaliyo makuu, lakini mkubali kushughulishwa na mambo manyonge. Msiwe watu wa kujivunia akili. 
Be of the same mind one toward another. Mind not high things, but condescend to men of low estate. Be not wise in your own conceits.
[17]Msimlipe mtu ovu kwa ovu. Angalieni yaliyo mema machoni pa watu wote. 
Recompense to no man evil for evil. Provide things honest in the sight of all men.
[18]Kama yamkini, kwa upande wenu, mkae katika amani na watu wote. 
If it be possible, as much as lieth in you, live peaceably with all men.
[19]Wapenzi, msijilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa, Kisasi ni juu yangu mimi; mimi nitalipa, anena Bwana. 
Dearly beloved, avenge not yourselves, but rather give place unto wrath: for it is written, Vengeance is mine; I will repay, saith the Lord.
[20]Lakini, Adui yako akiwa na njaa, mlishe; akiwa na kiu, mnyweshe; maana ufanyapo hivyo, utampalia makaa ya moto kichwani pake. 
Therefore if thine enemy hunger, feed him; if he thirst, give him drink: for in so doing thou shalt heap coals of fire on his head.
[21]Usishindwe na ubaya, bali uushinde ubaya kwa wema. 
Be not overcome of evil, but overcome evil with good.

Comments