SOMO LA MSINGI.
UPENDO
MHUBIRI: RUSENGE JUMA
Waebrania 13:1-3
[1]Upendano wa ndugu na udumu.
Let brotherly love continue.
[2]Msisahau kuwafadhili wageni; maana kwa njia hii wengine wamewakaribisha malaika pasipo kujua.
Be not forgetful to entertain strangers: for thereby some have entertained angels unawares.
[3]Wakumbukeni hao waliofungwa kana kwamba mmefungwa pamoja nao; na hao wanaodhulumiwa, kwa vile ninyi nanyi mlivyo katika mwili.
Remember them that are in bonds, as bound with them; and them which suffer adversity, as being yourselves also in the body.
Comments
Post a Comment