SOMO LA MSINGI.


KUJITAHIDI KUELEKEA KWA YESU KRISTO.
MHUBIRI: WINFRIDA JONATHAN RUSAMA.
Wafilipi 3:12-21
[12]Si kwamba nimekwisha kufika, au nimekwisha kuwa mkamilifu; la! Bali nakaza mwendo ili nipate kulishika lile ambalo kwa ajili yake nimeshikwa na Kristo Yesu. 
Not as though I had already attained, either were already perfect: but I follow after, if that I may apprehend that for which also I am apprehended of Christ Jesus.
[13]Ndugu, sijidhanii nafsi yangu kwamba nimekwisha kushika; ila natenda neno moja tu; nikiyasahau yaliyo nyuma, nikiyachuchumilia yaliyo mbele; 
Brethren, I count not myself to have apprehended: but this one thing I do, forgetting those things which are behind, and reaching forth unto those things which are before,
[14]nakaza mwendo, niifikilie mede ya thawabu ya mwito mkuu wa Mungu katika Kristo Yesu. 
I press toward the mark for the prize of the high calling of God in Christ Jesus.
[15]Basi sisi tulio wakamilifu na tuwaze hayo; na hata mkiwaza mengine katika jambo lo lote, Mungu atawafunulia hilo nalo. 
Let us therefore, as many as be perfect, be thus minded: and if in any thing ye be otherwise minded, God shall reveal even this unto you.
[16]Lakini, hapo tulipofika na tuenende katika lilo hilo. 
Nevertheless, whereto we have already attained, let us walk by the same rule, let us mind the same thing.
[17]Ndugu zangu, mnifuate mimi, mkawatazame wao waendao kwa kuufuata mfano tuliowapa ninyi. 
Brethren, be followers together of me, and mark them which walk so as ye have us for an ensample.
[18]Maana wengi huenenda, ambao nimewaambieni mara nyingi habari zao, na sasa nawaambia hata kwa machozi, kuwa ni adui za msalaba wa Kristo; 
(For many walk, of whom I have told you often, and now tell you even weeping, that they are the enemies of the cross of Christ:
[19]mwisho wao ni uharibifu, mungu wao ni tumbo, utukufu wao u katika fedheha yao, waniao mambo ya duniani. 
Whose end is destruction, whose God is their belly, and whose glory is in their shame, who mind earthly things.)
[20]Kwa maana sisi, wenyeji wetu uko mbinguni; kutoka huko tena tunamtazamia Mwokozi, Bwana Yesu Kristo; 
For our conversation is in heaven; from whence also we look for the Saviour, the Lord Jesus Christ:
[21]atakayeubadili mwili wetu wa unyonge, upate kufanana na mwili wake wa utukufu, kwa uweza ule ambao kwa huo aweza hata kuvitiisha vitu vyote viwe chini yake. 
Who shall change our vile body, that it may be fashioned like unto his glorious body, according to the working whereby he is able even to subdue all things unto himself.

Comments