ZITAMBUE DHAMBI ZAKO.

ZITAMBUE DHAMBI ZAKO NA UMKABIDHI YESU.

MHUBIRI: MCH. JONATHAN BUCHA.
Luka 7:36-50
[36]Mtu mmoja katika Mafarisayo alimwalika ale chakula kwake; akaingia katika nyumba yake yule Farisayo, akaketi chakulani. 
And one of the Pharisees desired him that he would eat with him. And he went into the Pharisee's house, and sat down to meat.
[37]Na tazama, mwanamke mmoja wa mji ule, aliyekuwa mwenye dhambi, alipopata habari ya kuwa ameketi chakulani katika nyumba ya yule Farisayo, alileta chupa ya marimari yenye marhamu. 
And, behold, a woman in the city, which was a sinner, when she knew that Jesus sat at meat in the Pharisee's house, brought an alabaster box of ointment,
[38]Akasimama nyuma karibu na miguu yake, akilia, akaanza kumdondoshea miguu machozi yake, na kuipangusa kwa nywele za kichwa chake, akiibusu-busu miguu yake na kuipaka yale marhamu. 
And stood at his feet behind him weeping, and began to wash his feet with tears, and did wipe them with the hairs of her head, and kissed his feet, and anointed them with the ointment.
[39]Basi, yule Farisayo aliyemwalika alipoona vile, alisema moyoni mwake, Mtu huyu kama angekuwa nabii, angemtambua mwanamke huyu amgusaye, ni nani, naye ni wa namna gani, ya kwamba ni mwenye dhambi. 
Now when the Pharisee which had bidden him saw it, he spake within himself, saying, This man, if he were a prophet, would have known who and what manner of woman this is that toucheth him: for she is a sinner.
[40]Yesu akajibu akamwambia, Simoni, nina neno nitakalo kukuambia. Akasema, Mwalimu, nena. 
And Jesus answering said unto him, Simon, I have somewhat to say unto thee. And he saith, Master, say on.
[41]Akasema, Mtu mmoja mkopeshaji alikuwa na wadeni wawili; mmoja amwia dinari mia tano, na wa pili hamsini. 
There was a certain creditor which had two debtors: the one owed five hundred pence, and the other fifty.
[42]Nao walipokuwa hawana cha kumlipa, aliwasamehe wote wawili. Katika hao wawili ni yupi atakayempenda zaidi? 
And when they had nothing to pay, he frankly forgave them both. Tell me therefore, which of them will love him most?
[43]Simoni akajibu akasema, Nadhani ni yule ambaye alimsamehe nyingi. Akamwambia, Umeamua haki. 
Simon answered and said, I suppose that he, to whom he forgave most. And he said unto him, Thou hast rightly judged.
[44]Akamgeukia yule mwanamke, akamwambia Simoni, Wamwona mwanamke huyu? Niliingia nyumbani kwako, hukunipa maji kwa miguu yangu; bali huyu amenidondoshea machozi miguu yangu, na kuipangusa kwa nywele za kichwa chake. 
And he turned to the woman, and said unto Simon, Seest thou this woman? I entered into thine house, thou gavest me no water for my feet: but she hath washed my feet with tears, and wiped them with the hairs of her head.
[45]Wewe hukunibusu; lakini huyu tangu nilipoingia hakuacha kunibusu sana miguu yangu. 
Thou gavest me no kiss: but this woman since the time I came in hath not ceased to kiss my feet.
[46]Hukunipaka kichwa changu mafuta; bali huyu amenipaka miguu yangu marhamu. 
My head with oil thou didst not anoint: but this woman hath anointed my feet with ointment.
[47]Kwa ajili ya hayo nakuambia, Amesamehewa dhambi zake ambazo ni nyingi, kwa kuwa amependa sana; lakini asamehewaye kidogo, huyo hupenda kidogo. 
Wherefore I say unto thee, Her sins, which are many, are forgiven; for she loved much: but to whom little is forgiven, the same loveth little.
[48]Kisha alimwambia mwanamke, Umesamehewa dhambi zako. 
And he said unto her, Thy sins are forgiven.
[49]Ndipo wale walioketi chakulani pamoja naye walianza kusema mioyoni mwao, Ni nani huyu hata asamehe dhambi? 
And they that sat at meat with him began to say within themselves, Who is this that forgiveth sins also?
[50]Akamwambia yule mwanamke, Imani yako imekuokoa, enenda zako kwa amani. 
And he said to the woman, Thy faith hath saved thee; go in peace.

Comments