KUISHI WITO WETU.

KUISHI KWA WITO.

MUHUBIRI: WINFRIDA JONATHAN.

1 Petro 1:13-25
[13]Kwa hiyo vifungeni viuno vya nia zenu, na kuwa na kiasi; mkiitumainia kwa utimilifu ile neema mtakayoletewa katika ufunuo wake Yesu Kristo. 
Wherefore gird up the loins of your mind, be sober, and hope to the end for the grace that is to be brought unto you at the revelation of Jesus Christ;
[14]Kama watoto wa kutii msijifananishe na tamaa zenu za kwanza za ujinga wenu; 
As obedient children, not fashioning yourselves according to the former lusts in your ignorance:
[15]bali kama yeye aliyewaita alivyo mtakatifu, ninyi nanyi iweni watakatifu katika mwenendo wenu wote; 
But as he which hath called you is holy, so be ye holy in all manner of conversation;
[16]kwa maana imeandikwa, Mtakuwa watakatifu kwa kuwa mimi ni mtakatifu. 
Because it is written, Be ye holy; for I am holy.
[17]Na ikiwa mnamwita Baba, yeye ahukumuye kila mtu pasipo upendeleo, kwa kadiri ya kazi yake, enendeni kwa hofu katika wakati wenu wa kukaa hapa kama wageni. 
And if ye call on the Father, who without respect of persons judgeth according to every man's work, pass the time of your sojourning here in fear:
[18]Nanyi mfahamu kwamba mlikombolewa si kwa vitu viharibikavyo, kwa fedha au dhahabu; mpate kutoka katika mwenendo wenu usiofaa mlioupokea kwa baba zenu; 
Forasmuch as ye know that ye were not redeemed with corruptible things, as silver and gold, from your vain conversation received by tradition from your fathers;
[19]bali kwa damu ya thamani, kama ya mwana-kondoo asiye na ila, asiye na waa, yaani, ya Kristo. 
But with the precious blood of Christ, as of a lamb without blemish and without spot:
[20]Naye amejulikana kweli tangu zamani, kabla haijawekwa misingi ya dunia; lakini alifunuliwa mwisho wa zamani kwa ajili yenu; 
Who verily was foreordained before the foundation of the world, but was manifest in these last times for you,
[21]ambao kwa yeye mmekuwa wenye kumwamini Mungu, aliyemfufua katika wafu akampa utukufu; hata imani yenu na tumaini lenu liwe kwa Mungu. 
Who by him do believe in God, that raised him up from the dead, and gave him glory; that your faith and hope might be in God.
[22]Mkiisha kujitakasa roho zenu kwa kuitii kweli, hata kuufikilia upendano wa ndugu usio na unafiki, basi jitahidini kupendana kwa moyo. 
Seeing ye have purified your souls in obeying the truth through the Spirit unto unfeigned love of the brethren, see that ye love one another with a pure heart fervently:
[23]Kwa kuwa mmezaliwa mara ya pili; si kwa mbegu iharibikayo, bali kwa ile isiyoharibika; kwa neno la Mungu lenye uzima, lidumulo hata milele. 
Being born again, not of corruptible seed, but of incorruptible, by the word of God, which liveth and abideth for ever.
[24]Maana, 
Mwili wote ni kama majani, 
Na fahari yake yote ni kama ua la majani. 
Majani hukauka na ua lake huanguka; 
For all flesh is as grass, and all the glory of man as the flower of grass. The grass withereth, and the flower thereof falleth away:
[25]Bali Neno la Bwana hudumu hata milele. 
Na neno hilo ni neno lile jema lililohubiriwa kwenu. 
But the word of the Lord endureth for ever. And this is the word which by the gospel is preached unto you.

Comments