MACHO YAO YAKAFUMBULIWA.

YESU KRISTO LIMBUKO LAO WALIOLALA.

MHUBIRI: FAUSTINE GUTAPAKA.
1 Wakorintho 15:20
[20]Lakini sasa Kristo amefufuka katika wafu, limbuko lao waliolala. 
But now is Christ risen from the dead, and become the firstfruits of them that slept.

MAREJEO:
Luka 24:13-34
[13]Na tazama, siku ile ile watu wawili miongoni mwao walikuwa wakienda kijiji kimoja, jina lake Emau, kilichokuwa mbali na Yerusalemu kama mwendo wa saa mbili. 
And, behold, two of them went that same day to a village called Emmaus, which was from Jerusalem about threescore furlongs.
[14]Nao walikuwa wakizungumza wao kwa wao habari za mambo hayo yote yaliyotukia. 
And they talked together of all these things which had happened.
[15]Ikawa katika kuzungumza na kuulizana kwao, Yesu mwenyewe alikaribia, akaandamana nao. 
And it came to pass, that, while they communed together and reasoned, Jesus himself drew near, and went with them.
[16]Macho yao yakafumbwa wasimtambue. 
But their eyes were holden that they should not know him.
[17]Akawaambia, Ni maneno gani haya mnayosemezana hivi mnapotembea? Wakasimama wamekunja nyuso zao. 
And he said unto them, What manner of communications are these that ye have one to another, as ye walk, and are sad?
[18]Akajibu mmoja wao, jina lake Kleopa, akamwambia, Je! Wewe peke yako u mgeni katika Yerusalemu, hata huyajui yaliyotukia humo siku hizi? 
And the one of them, whose name was Cleopas, answering said unto him, Art thou only a stranger in Jerusalem, and hast not known the things which are come to pass there in these days?
[19]Akawauliza, Mambo gani? Wakamwambia, Mambo ya Yesu wa Nazareti, aliyekuwa mtu nabii, mwenye uwezo katika kutenda na kunena mbele za Mungu na watu wote; 
And he said unto them, What things? And they said unto him, Concerning Jesus of Nazareth, which was a prophet mighty in deed and word before God and all the people:
[20]tena jinsi wakuu wa makuhani na wakubwa wetu walivyomtia katika hukumu ya kufa, wakamsulibisha. 
And how the chief priests and our rulers delivered him to be condemned to death, and have crucified him.
[21]Nasi tulikuwa tukitumaini ya kuwa yeye ndiye atakayewakomboa Israeli. Zaidi ya hayo yote, leo ni siku ya tatu tangu yalipotendeka mambo hayo; 
But we trusted that it had been he which should have redeemed Israel: and beside all this, to day is the third day since these things were done.
[22]tena, wanawake kadha wa kadha wa kwetu walitushitusha, waliokwenda kaburini asubuhi na mapema, 
Yea, and certain women also of our company made us astonished, which were early at the sepulchre;
[23]wasiuone mwili wake; wakaja wakasema ya kwamba wametokewa na malaika waliosema kwamba yu hai. 
And when they found not his body, they came, saying, that they had also seen a vision of angels, which said that he was alive.
[24]Na wengine waliokuwa pamoja nasi walikwenda kaburini wakaona vivyo hivyo kama wale wanawake walivyosema, ila yeye hawakumwona. 
And certain of them which were with us went to the sepulchre, and found it even so as the women had said: but him they saw not.
[25]Akawaambia, Enyi msiofahamu, wenye mioyo mizito ya kuamini yote waliyoyasema manabii! 
Then he said unto them, O fools, and slow of heart to believe all that the prophets have spoken:
[26]Je! Haikumpasa Kristo kupata mateso haya na kuingia katika utukufu wake? 
Ought not Christ to have suffered these things, and to enter into his glory?
[27]Akaanza kutoka Musa na manabii wote, akawaeleza katika maandiko yote mambo yaliyomhusu yeye mwenyewe. 
And beginning at Moses and all the prophets, he expounded unto them in all the scriptures the things concerning himself.
[28]Wakakikaribia kile kijiji walichokuwa wakienda, naye alifanya kama anataka kuendelea mbele. 
And they drew nigh unto the village, whither they went: and he made as though he would have gone further.
[29]Wakamshawishi wakisema, Kaa pamoja nasi, kwa kuwa kumekuchwa, na mchana unakwisha. Akaingia ndani kukaa nao. 
But they constrained him, saying, Abide with us: for it is toward evening, and the day is far spent. And he went in to tarry with them.
[30]Ikawa alipokuwa ameketi nao chakulani, alitwaa mkate, akaubariki, akaumega, akawapa. 
And it came to pass, as he sat at meat with them, he took bread, and blessed it, and brake, and gave to them.
[31]Yakafumbuliwa macho yao, wakamtambua; kisha akatoweka mbele yao. 
And their eyes were opened, and they knew him; and he vanished out of their sight.
[32]Wakaambiana, Je! Mioyo yetu haikuwaka ndani yetu hapo alipokuwa akisema nasi njiani, na kutufunulia maandiko? 
And they said one to another, Did not our heart burn within us, while he talked with us by the way, and while he opened to us the scriptures?
[33]Wakaondoka saa ile ile, wakarejea Yerusalemu, wakawakuta wale kumi na mmoja wamekutanika, wao na wale waliokuwa pamoja nao, 
And they rose up the same hour, and returned to Jerusalem, and found the eleven gathered together, and them that were with them,
[34]wakisema, Bwana amefufuka kweli kweli, naye amemtokea Simoni. 
Saying, The Lord is risen indeed, and hath appeared to Simon.

Comments