WAMWISHO WATAKUWA WAKWANZA.
WAMWISHO WATAKUWA WAKWANZA.
MHUBIRI: FAUSTINE GUTAPAKA. Tarehe 07 Julai 2024.
Mathayo 19:30
[30]Lakini wengi walio wa kwanza watakuwa wa mwisho, na walio wa mwisho watakuwa wa kwanza.
But many that are first shall be last; and the last shall be first.
Marejeo.
Mathayo 20:1-16
[1]Kwa maana ufalme wa mbinguni umefanana na mtu mwenye nyumba aliyetoka alfajiri kwenda kuajiri wakulima awapeleke katika shamba lake la mizabibu.
For the kingdom of heaven is like unto a man that is an householder, which went out early in the morning to hire labourers into his vineyard.
[2]Naye alipokwisha kupatana na wakulima kuwapa kutwa dinari, aliwapeleka katika shamba lake la mizabibu.
And when he had agreed with the labourers for a penny a day, he sent them into his vineyard.
[3]Akatoka mnamo saa tatu, akaona wengine wamesimama sokoni wasiokuwa na kazi;
And he went out about the third hour, and saw others standing idle in the marketplace,
[4]na hao nao akawaambia, Enendeni nanyi katika shamba langu la mizabibu, na iliyo haki nitawapa. Wakaenda.
And said unto them; Go ye also into the vineyard, and whatsoever is right I will give you. And they went their way.
[5]Akatoka tena mnamo saa sita na saa kenda, akafanya vile vile.
Again he went out about the sixth and ninth hour, and did likewise.
[6]Hata kama saa kumi na moja akatoka, akakuta wengine wamesimama, akawaambia, Mbona mmesimama hapa mchana kutwa bila kazi?
And about the eleventh hour he went out, and found others standing idle, and saith unto them, Why stand ye here all the day idle?
[7]Wakamwambia, Kwa sababu hakuna mtu aliyetuajiri. Akawaambia, enendeni nanyi katika shamba la mizabibu.
They say unto him, Because no man hath hired us. He saith unto them, Go ye also into the vineyard; and whatsoever is right, that shall ye receive.
[8]Kulipokuchwa, yule bwana wa shamba akamwambia msimamizi wake, Waite wakulima, uwalipe ujira wao, ukianzia wa mwisho hata wa kwanza.
So when even was come, the lord of the vineyard saith unto his steward, Call the labourers, and give them their hire, beginning from the last unto the first.
[9]Na walipokuja wale wa saa kumi na moja, walipokea kila mtu dinari.
And when they came that were hired about the eleventh hour, they received every man a penny.
[10]Na wale wa kwanza walipokuja, walidhani kwamba watapokea zaidi; na hao pia wakapokea kila mtu dinari.
But when the first came, they supposed that they should have received more; and they likewise received every man a penny.
[11]Basi wakiisha kuipokea, wakamnung’unikia mwenye nyumba,
And when they had received it, they murmured against the goodman of the house,
[12]wakisema, Hao wa mwisho wametenda kazi saa moja tu, nawe umewasawazisha na sisi tuliostahimili taabu na hari za mchana kutwa.
Saying, These last have wrought but one hour, and thou hast made them equal unto us, which have borne the burden and heat of the day.
[13]Naye akamjibu mmoja wao, akamwambia, Rafiki, sikudhulumu; hukupatana nami kwa dinari?
But he answered one of them, and said, Friend, I do thee no wrong: didst not thou agree with me for a penny?
[14]Chukua iliyo yako, uende zako; napenda kumpa huyu wa mwisho sawa na wewe.
Take that thine is, and go thy way: I will give unto this last, even as unto thee.
[15]Si halali yangu kutumia vilivyo vyangu kama nipendavyo? Au jicho lako limekuwa ovu kwa sababu ya mimi kuwa mwema?
Is it not lawful for me to do what I will with mine own? Is thine eye evil, because I am good?
[16]Vivyo hivyo wa mwisho watakuwa wa kwanza, na wa kwanza watakuwa wa mwisho.
So the last shall be first, and the first last: for many be called, but few chosen.
Comments
Post a Comment