Posts

Showing posts from 2025

JE WEWE UPO NJE?

Image
JE WEWE UPO NJE? MHUBIRI: MCH. JONATHAN BUCHA. Luka 8:19-21 [19]Wakamwendea mama yake na ndugu zake, wasiweze kumkaribia kwa sababu ya mkutano.  Then came to him his mother and his brethren, and could not come at him for the press. [20]Akaletewa habari akiambiwa, Mama yako na ndugu zako wamesimama nje wakitaka kuonana nawe.  And it was told him by certain which said, Thy mother and thy brethren stand without, desiring to see thee. [21]Akawajibu akasema, Mama yangu na ndugu zangu ndio hao walisikiao neno la Mungu na kulifanya.  And he answered and said unto them, My mother and my brethren are these which hear the word of God, and do it.

NAFASI YAKO NI IPI KATIKA SAFARI YAKO?

Image
NAFASI YAKO NI IPI KATIKA SAFARI YAKO? MHUBIRI: FAUSTINE GUTAPAKA Kutoka 33:1-6 [1]BWANA akanena na Musa, Haya, ondokeni, katokeni hapo, wewe na hao watu uliowaleta wakwee kutoka nchi ya Misri, waende nchi hiyo niliyomwapia Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, niliposema, Nitakipa kizazi chako nchi hii;  And the LORD said unto Moses, Depart, and go up hence, thou and the people which thou hast brought up out of the land of Egypt, unto the land which I sware unto Abraham, to Isaac, and to Jacob, saying, Unto thy seed will I give it: [2]nami nitamtuma malaika aende mbele yako; nami nitawafukuza Mkanaani, na Mwamori, na Mhiti, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi;  And I will send an angel before thee; and I will drive out the Canaanite, the Amorite, and the Hittite, and the Perizzite, the Hivite, and the Jebusite: [3]waifikilie nchi imiminikayo maziwa na asali; kwa maana mimi sitakwenda kati yenu; kwa sababu ninyi ni watu wenye shingo ngumu; nisiwaangamize ninyi katika njia.  Un...

GOD IS THE POTTER

Image
GOD IS THE POTTER. PREACHER: HAKIKA JONATHAN ‭Jeremiah 18:1-6 NIV‬ [1] This is the word that came to Jeremiah from the Lord: [2] “Go down to the potter’s house, and there I will give you my message.” [3] So I went down to the potter’s house, and I saw him working at the wheel. [4] But the pot he was shaping from the clay was marred in his hands; so the potter formed it into another pot, shaping it as seemed best to him. [5] Then the word of the Lord came to me. [6] He said, “Can I not do with you, Israel, as this potter does?” declares the Lord. “Like clay in the hand of the potter, so are you in my hand, Israel.  MUNGU NI MFINYANZI. Yeremia 18:1-6 [1]Neno hili ndilo lililomjia Yeremia, kutoka kwa BWANA, kusema, [2]Ondoka, ukashuke mpaka nyumba ya mfinyanzi, na huko nitakusikizisha maneno yangu.  [3]Basi nikashuka mpaka nyumba ya mfinyanzi, na tazama, alikuwa akifanya kazi yake kwa magurudumu.  [4]Na chombo kile, alichokuwa akikifinyanga, kilipoharibika mkononi mwake yule...

KUMBUKA NI WAPI ULIPOANGUKA

Image
KUMBUKA NI WAPI ULIPOANGUKA. MHUBIRI: MCH. JONATHAN BUCHA. Ufunuo wa Yohana 2:1-7 [1]Kwa malaika wa kanisa lililoko Efeso andika;  Haya ndiyo anenayo yeye azishikaye hizo nyota saba katika mkono wake wa kuume, yeye aendaye katikati ya vile vinara saba vya dhahabu.  Unto the angel of the church of Ephesus write; These things saith he that holdeth the seven stars in his right hand, who walketh in the midst of the seven golden candlesticks; [2]Nayajua matendo yako, na taabu yako, na subira yako, na ya kuwa huwezi kuchukuliana na watu wabaya, tena umewajaribu wale wajiitao mitume, nao sio, ukawaona kuwa waongo;  I know thy works, and thy labour, and thy patience, and how thou canst not bear them which are evil: and thou hast tried them which say they are apostles, and are not, and hast found them liars: [3]tena ulikuwa na subira na kuvumilia kwa ajili ya jina langu, wala hukuchoka.  And hast borne, and hast patience, and for my name's sake hast laboured, and hast not fai...