KUMBUKA NI WAPI ULIPOANGUKA

KUMBUKA NI WAPI ULIPOANGUKA.

MHUBIRI: MCH. JONATHAN BUCHA.
Ufunuo wa Yohana 2:1-7
[1]Kwa malaika wa kanisa lililoko Efeso andika; 
Haya ndiyo anenayo yeye azishikaye hizo nyota saba katika mkono wake wa kuume, yeye aendaye katikati ya vile vinara saba vya dhahabu. 
Unto the angel of the church of Ephesus write; These things saith he that holdeth the seven stars in his right hand, who walketh in the midst of the seven golden candlesticks;
[2]Nayajua matendo yako, na taabu yako, na subira yako, na ya kuwa huwezi kuchukuliana na watu wabaya, tena umewajaribu wale wajiitao mitume, nao sio, ukawaona kuwa waongo; 
I know thy works, and thy labour, and thy patience, and how thou canst not bear them which are evil: and thou hast tried them which say they are apostles, and are not, and hast found them liars:
[3]tena ulikuwa na subira na kuvumilia kwa ajili ya jina langu, wala hukuchoka. 
And hast borne, and hast patience, and for my name's sake hast laboured, and hast not fainted.
[4]Lakini nina neno juu yako, ya kwamba umeuacha upendo wako wa kwanza. 
Nevertheless I have somewhat against thee, because thou hast left thy first love.
[5]Basi, kumbuka ni wapi ulikoanguka; ukatubu, ukayafanye matendo ya kwanza. Lakini, usipofanya hivyo, naja kwako, nami nitakiondoa kinara chako katika mahali pake, usipotubu. 
Remember therefore from whence thou art fallen, and repent, and do the first works; or else I will come unto thee quickly, and will remove thy candlestick out of his place, except thou repent.
[6]Lakini unalo neno hili, kwamba wayachukia matendo ya Wanikolai, ambayo na mimi nayachukia. 
But this thou hast, that thou hatest the deeds of the Nicolaitans, which I also hate.
[7]Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindaye, nitampa kula matunda ya mti wa uzima, ulio katika bustani ya Mungu. 
He that hath an ear, let him hear what the Spirit saith unto the churches; To him that overcometh will I give to eat of the tree of life, which is in the midst of the paradise of God.

Comments