Posts

SAFARI YA WANA WA ISRAELI.

Image
SAFARI YA WANA WA ISRAEL. MHUBIRI: MCH. JONATHAN BUCHA. Hesabu 21:4-9 [4]Wakasafiri kutoka mlima wa Hori kwa njia ya Bahari ya Shamu; ili kuizunguka nchi ya Edomu, watu wakafa moyo kwa sababu ya ile njia.  And they journeyed from mount Hor by the way of the Red sea, to compass the land of Edom: and the soul of the people was much discouraged because of the way. [5]Watu wakamnung’unikia Mungu, na Musa, Mbona mmetupandisha huku kutoka nchi ya Misri, ili tufe jangwani? Maana hapana chakula, wala hapana maji, na roho zetu zinakinai chakula hiki dhaifu.  And the people spake against God, and against Moses, Wherefore have ye brought us up out of Egypt to die in the wilderness? for there is no bread, neither is there any water; and our soul loatheth this light bread. [6]BWANA akatuma nyoka za moto kati ya watu, wakawauma, watu wengi wakafa.  And the LORD sent fiery serpents among the people, and they bit the people; and much people of Israel died. [7]Watu wakamwendea Musa, wakas...

KUILINDA IMANI.

Image
KUILINDA IMANI. MHUBIRI: MCH. JONATHAN BUCHA. Danieli 1:6-16 [6]Basi katika hao walikuwapo baadhi ya wana wa Yuda, Danieli, na Hanania, na Mishaeli, na Azaria.  Now among these were of the children of Judah, Daniel, Hananiah, Mishael, and Azariah: [7]Mkuu wa matowashi akawapa majina; alimwita Danieli, Belteshaza; na Hanania akamwita Shadraka; na Mishaeli akamwita Meshaki; na Azaria akamwita Abednego.  Unto whom the prince of the eunuchs gave names: for he gave unto Daniel the name of Belteshazzar; and to Hananiah, of Shadrach; and to Mishael, of Meshach; and to Azariah, of Abednego. [8]Lakini Danieli aliazimu moyoni mwake ya kuwa hatajitia unajisi kwa chakula cha mfalme, wala kwa divai aliyokunywa; basi akamwomba yule mkuu wa matowashi ampe ruhusa asijitie unajisi.  But Daniel purposed in his heart that he would not defile himself with the portion of the king's meat, nor with the wine which he drank: therefore he requested of the prince of the eunuchs that he might not de...

FAIDA ZA KUWA MWAMINIFU KWA MUNGU.

Image
FAIDA ZA KUWA MWAMINIFU KWA MUNGU. . MHUBIRI: MCH. JONATHAN BUCHA. Danieli 1:17-21 [17]Basi, kwa habari za hao vijana wanne, Mungu aliwapa maarifa na ujuzi katika elimu na hekima; Danieli naye alikuwa na ufahamu katika maono yote, na ndoto.  As for these four children, God gave them knowledge and skill in all learning and wisdom: and Daniel had understanding in all visions and dreams. [18]Hata mwisho wa siku zile alizoziagiza mfalme za kuwaingiza, mkuu wa matowashi akawaingiza mbele ya mfalme Nebukadreza.  Now at the end of the days that the king had said he should bring them in, then the prince of the eunuchs brought them in before Nebuchadnezzar. [19]Naye mfalme akazungumza nao; na miongoni mwao wote hawakuonekana waliokuwa kama Danieli, na Hanania, na Mishaeli, na Azaria; kwa hiyo wakasimama mbele ya mfalme.  And the king communed with them; and among them all was found none like Daniel, Hananiah, Mishael, and Azariah: therefore stood they before the king. [20]Na katik...

PRAYERS FOR THE GOD'S GLORY.

Image
PRAYERS FOR THE GOD'S GLORY. PREACHER: FAUSTINE GUTAPAKA. DATE: 18/02/2024. ‭‭Matthew‬ ‭26:36‭-‬45‬ ‭NIV‬‬ [36] Then Jesus went with his disciples to a place called Gethsemane, and he said to them, “Sit here while I go over there and pray.” [37] He took Peter and the two sons of Zebedee along with him, and he began to be sorrowful and troubled. [38] Then he said to them, “My soul is overwhelmed with sorrow to the point of death. Stay here and keep watch with me.” [39] Going a little farther, he fell with his face to the ground and prayed, “My Father, if it is possible, may this cup be taken from me. Yet not as I will, but as you will.” [40] Then he returned to his disciples and found them sleeping. “Couldn’t you men keep watch with me for one hour?” he asked Peter. [41] “Watch and pray so that you will not fall into temptation. The spirit is willing, but the flesh is weak.” [42] He went away a second time and prayed, “My Father, if it is not possible for this cup to be taken away u...

MUNGU AKUFUNGUE MACHO.

Image
MUNGU AKUFUNGUE MACHO. MHUBIRI. MCH. JONATHAN BUCHA. Mwanzo 21:1-20 [1]BWANA akamjia Sara kama alivyonena, na BWANA akamfanyia kama alivyosema.  And the LORD visited Sarah as he had said, and the LORD did unto Sarah as he had spoken. [2]Sara akapata mimba akamzalia Ibrahimu mwana wa kiume katika uzee wake, kwa muhula alioambiwa na Mungu.  For Sarah conceived, and bare Abraham a son in his old age, at the set time of which God had spoken to him. [3]Ibrahimu akamwita jina lake Isaka, yule mwana aliyezaliwa, ambaye Sara alimzalia.  And Abraham called the name of his son that was born unto him, whom Sarah bare to him, Isaac. [4]Ibrahimu akamtahiri Isaka mwanawe, alipokuwa mwenye siku nane, kama Mungu alivyomwamuru.  And Abraham circumcised his son Isaac being eight days old, as God had commanded him. [5]Naye Ibrahimu alikuwa mtu wa miaka mia, alipozaliwa mwana wake Isaka.  And Abraham was an hundred years old, when his son Isaac was born unto him. [6]Sara akasema, M...

KUMSIKILIZA MUNGU.

Image
KUMSIKILIZA MUNGU. MCH. JONATHAN BUCHA Matendo ya Mitume 4:13-21 [13]Basi walipoona ujasiri wa Petro na Yohana, na kuwajua ya kuwa ni watu wasio na elimu, wasio na maarifa, wakastaajabu, wakawatambua ya kwamba walikuwa pamoja na Yesu.  Now when they saw the boldness of Peter and John, and perceived that they were unlearned and ignorant men, they marvelled; and they took knowledge of them, that they had been with Jesus. [14]Na wakimwona yule aliyeponywa akisimama pamoja nao hawakuwa na neno la kujibu.  And beholding the man which was healed standing with them, they could say nothing against it. [15]Wakawaamuru kutoka katika baraza, wakafanya shauri wao kwa wao,  But when they had commanded them to go aside out of the council, they conferred among themselves, [16]wakisema, Tuwafanyie nini watu hawa? Maana ni dhahiri kwa watu wote wakaao Yerusalemu ya kwamba ishara mashuhuri imefanywa nao, wala hatuwezi kuikana.  Saying, What shall we do to these men? for that indeed a ...

I WILL BRING YOU UP.

Image
I WILL BRING YOU UP OUT OF THE AFFLICTIONS . REV. JONATHAN BUCHA. Kutoka 3:14-18 [14]Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO; akasema, Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli; MIMI NIKO amenituma kwenu.  And God said unto Moses, I AM THAT I AM: and he said, Thus shalt thou say unto the children of Israel, I AM hath sent me unto you. [15]Tena Mungu akamwambia Musa, Waambie wana wa Israeli maneno haya, BWANA, Mungu wa baba zenu, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, amenituma kwenu; hili ndilo jina langu hata milele, nalo ni kumbukumbu langu hata vizazi vyote.  And God said moreover unto Moses, Thus shalt thou say unto the children of Israel, The LORD God of your fathers, the God of Abraham, the God of Isaac, and the God of Jacob, hath sent me unto you: this is my name for ever, and this is my memorial unto all generations. [16]Enenda, ukawakusanye wazee wa Israeli pamoja, ukawaambie, BWANA, Mungu wa baba zenu, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo...

TUNAVYO VITA.

Image
TUNAVYO VITA. MHUBIRI: MCH. JONATHAN BUCHA. 1 Samweli 17:28-51 [28]Naye Eliabu, mkubwa wake, alisikia hapo alipoongea na watu; na hasira yake Eliabu ikawaka juu ya Daudi, akasema, Mbona wewe umeshuka hapa? Na kondoo wale wachache umemwachia nani kule nyikani? Mimi nakujua kiburi chako, na ubaya wa moyo wako; maana umeshuka ili upate kuvitazama vita.  And Eliab his eldest brother heard when he spake unto the men; and Eliab's anger was kindled against David, and he said, Why camest thou down hither? and with whom hast thou left those few sheep in the wilderness? I know thy pride, and the naughtiness of thine heart; for thou art come down that thou mightest see the battle. [29]Naye Daudi akamjibu, Je! Mimi nimekosa nini sasa? Je! Si neno kubwa hilo?  And David said, What have I now done? Is there not a cause? [30]Naye akamgeukia ili kumwelekea mtu mwingine, akasema naye jinsi ile ile; na watu wakamjibu tena jinsi ile ile kama ya kwanza.  And he turned from him toward another...

VITA VIZURI VYA IMANI.

Image
VITA VIZURI VYA IMANI. MHUBIRI: FAUSTINE GUTAPAKA 1 Timotheo 6:11-19 [11]Bali wewe, mtu wa Mungu, uyakimbie mambo hayo; ukafuate haki, utauwa, imani, upendo, saburi, upole.  But thou, O man of God, flee these things; and follow after righteousness, godliness, faith, love, patience, meekness. [12]Piga vita vile vizuri vya imani; shika uzima ule wa milele ulioitiwa, ukaungama maungamo mazuri mbele ya mashahidi wengi.  Fight the good fight of faith, lay hold on eternal life, whereunto thou art also called, and hast professed a good profession before many witnesses. [13]Nakuagiza mbele za Mungu anayevihifadhi hai vitu vyote, na mbele za Kristo Yesu, aliyeyaungama maungamo mazuri yale mbele ya Pontio Pilato,  I give thee charge in the sight of God, who quickeneth all things, and before Christ Jesus, who before Pontius Pilate witnessed a good confession; [14]kwamba uilinde amri hii pasipo mawaa, pasipo lawama, hata kufunuliwa kwake Bwana wetu Yesu Kristo;  That thou keep t...

MTINI USIOZAA.

Image
MTINI USIOZAA. MHUBIRI: JONATHAN BUCHA. Luka 13:6-9 [6]Akanena mfano huu; Mtu mmoja alikuwa na mtini umepandwa katika shamba lake la mizabibu; akaenda akitafuta matunda juu yake, asipate.  He spake also this parable; A certain man had a fig tree planted in his vineyard; and he came and sought fruit thereon, and found none. [7]Akamwambia mtunzaji wa shamba la mizabibu, Tazama, miaka mitatu hii naja nikitafuta matunda juu ya mtini huu, nisipate kitu; uukate, mbona hata nchi unaiharibu?  Then said he unto the dresser of his vineyard, Behold, these three years I come seeking fruit on this fig tree, and find none: cut it down; why cumbereth it the ground? [8]Akajibu akamwambia, Bwana, uuache mwaka huu nao, hata niupalilie, niutilie samadi;  And he answering said unto him, Lord, let it alone this year also, till I shall dig about it, and dung it: [9]nao ukizaa matunda baadaye, vema! La, usipozaa, ndipo uukate.  And if it bear fruit, well: and if not, then after that thou s...

ATUKUZWE MUNGU.

Image
ATUKUZWE MUNGU . FAUSTINE GUTAPAKA. Waefeso 1:3-14 [3]Atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, aliyetubariki kwa baraka zote za rohoni, katika ulimwengu wa roho, ndani yake Kristo;  Blessed be the God and Father of our Lord Jesus Christ, who hath blessed us with all spiritual blessings in heavenly places in Christ: [4]kama vile alivyotuchagua katika yeye kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu, ili tuwe watakatifu, watu wasio na hatia mbele zake katika pendo.  According as he hath chosen us in him before the foundation of the world, that we should be holy and without blame before him in love: [5]Kwa kuwa alitangulia kutuchagua, ili tufanywe wanawe kwa njia ya Yesu Kristo, sawasawa na uradhi wa mapenzi yake.  Having predestinated us unto the adoption of children by Jesus Christ to himself, according to the good pleasure of his will, [6]Na usifiwe utukufu wa neema yake, ambayo ametuneemesha katika huyo Mpendwa.  To the praise of the glory of his grace, wherein he ...

FADHILI ZA MUNGU.

Image
FADHILI ZA MUNGU. FAUSTINE GUTAPAKA. 1 Petro 2:3-5 [3]ikiwa mmeonja ya kwamba Bwana ni mwenye fadhili.  If so be ye have tasted that the Lord is gracious. [4]Mmwendee yeye, jiwe lililo hai, lililokataliwa na wanadamu, bali kwa Mungu ni teule, lenye heshima.  To whom coming, as unto a living stone, disallowed indeed of men, but chosen of God, and precious, [5]Ninyi nanyi, kama mawe yaliyo hai, mmejengwa mwe nyumba ya Roho, ukuhani mtakatifu, mtoe dhabihu za roho, zinazokubaliwa na Mungu, kwa njia ya Yesu Kristo.  Ye also, as lively stones, are built up a spiritual house, an holy priesthood, to offer up spiritual sacrifices, acceptable to God by Jesus Christ.

REWARD OF OBEDIENCE.

Image
REWARDS OF OBEDIENCE. REV. JONATHAN BUCHA. Deuteronomy 11 "You shall therefore love the Lord your God, and always keep His charge, His statutes, His ordinances, and His commandments. Know this day that I am not speaking with your sons who have not known and who have not seen the discipline of the Lord your God-His greatness, His mighty hand and His outstretched arm, and His signs and His works which He did in the midst of Egypt to Pharaoh the king of Egypt and to all his land; and what He did to Egypt's army, to its horses and its chariots, when He made the water of the Red Sea to engulf them while they were pursuing you, and the Lord completely destroyed them; and what He did to you in the wilderness until you came to this place; and what He did to Dathan and Abiram, the sons of Eliab, the son of Reuben, when the earth opened its mouth and swallowed them, their households, their tents, and every living thing that followed them, among all Israel- but your own eyes have seen al...

LEO YESU AMEZALIWA.

Image
LEO YESU AMEZALIWA. MHUBIRI: MCH. JONATHAN BUCHA. Luka 2:8-20 [8]Na katika nchi ile ile walikuwako wachungaji wakikaa makondeni na kulinda kundi lao kwa zamu usiku.  And there were in the same country shepherds abiding in the field, keeping watch over their flock by night. [9]Malaika wa Bwana akawatokea ghafula, utukufu wa Bwana ukawang’aria pande zote, wakaingiwa na hofu kuu.  And, lo, the angel of the Lord came upon them, and the glory of the Lord shone round about them: and they were sore afraid. [10]Malaika akawaambia, Msiogope; kwa kuwa mimi ninawaletea habari njema ya furaha kuu itakayokuwa kwa watu wote;  And the angel said unto them, Fear not: for, behold, I bring you good tidings of great joy, which shall be to all people. [11]maana leo katika mji wa Daudi amezaliwa, kwa ajili yenu, Mwokozi, ndiye Kristo Bwana.  For unto you is born this day in the city of David a Saviour, which is Christ the Lord. [12]Na hii ndiyo ishara kwenu; mtamkuta mtoto mchanga amevik...

KUZALIWA KWA YESU.

Image
MAMBO YA KUJIFUNZA KUHUSU KUZALIWA KWA YESU. MHUBIRI: FAUSTINE GUTAPAKA. Luka 2:1-19 [1]Siku zile amri ilitoka kwa Kaisari Augusto ya kwamba iandikwe orodha ya majina ya watu wote wa ulimwengu.  And it came to pass in those days, that there went out a decree from Caesar Augustus, that all the world should be taxed. [2]Orodha hii ndiyo ya kwanza iliyoandikwa hapo Kirenio alipokuwa liwali wa Shamu.  (And this taxing was first made when Cyrenius was governor of Syria.) [3]Watu wote wakaenda kuandikwa, kila mtu mjini kwao.  And all went to be taxed, every one into his own city. [4]Yusufu naye aliondoka Galilaya, toka mji wa Nazareti, akapanda kwenda Uyahudi mpaka mji wa Daudi, uitwao Bethlehemu, kwa kuwa yeye ni wa mbari na jamaa ya Daudi;  And Joseph also went up from Galilee, out of the city of Nazareth, into Judaea, unto the city of David, which is called Bethlehem; (because he was of the house and lineage of David:) [5]ili aandikwe pamoja na Mariamu mkewe, ambaye ame...

KUZALIWA KWA YESU.

Image
KUZALIWA KWA YESU. MHUBIRI: ESTER BONIPHACE. Mathayo 2:1-12 [1]Yesu alipozaliwa katika Bethlehemu ya Uyahudi zamani za mfalme Herode, tazama, mamajusi wa mashariki walifika Yerusalemu, wakisema,  Now when Jesus was born in Bethlehem of Judaea in the days of Herod the king, behold, there came wise men from the east to Jerusalem, [2]Yuko wapi yeye aliyezaliwa mfalme wa Wayahudi? Kwa maana tuliiona nyota yake mashariki, nasi tumekuja kumsujudia.  Saying, Where is he that is born King of the Jews? for we have seen his star in the east, and are come to worship him. [3]Basi mfalme Herode aliposikia hayo, alifadhaika, na Yerusalemu pia pamoja naye.  When Herod the king had heard these things, he was troubled, and all Jerusalem with him. [4]Akakusanya wakuu wa makuhani wote na waandishi wa watu, akatafuta habari kwao, Kristo azaliwa wapi?  And when he had gathered all the chief priests and scribes of the people together, he demanded of them where Christ should be born. [5]Na...

KUBARIKI WATOTO.

Image
CHANZO CHA KUBARIKI WATOTO. MHUBIRI: MCH. ELIAKIMU NTUTAGI. Luka 2:22-32 [22]Kisha, zilipotimia siku za kutakasika kwao, kama ilivyo torati ya Musa walikwenda naye hata Yerusalemu, wamweke kwa Bwana,  And when the days of her purification according to the law of Moses were accomplished, they brought him to Jerusalem, to present him to the Lord; [23](kama ilivyoandikwa katika sheria ya Bwana, Kila mtoto mwanamume aliye kifungua mimba ya mamaye na aitwe mtakatifu kwa Bwana),  (As it is written in the law of the Lord, Every male that openeth the womb shall be called holy to the Lord;) [24]wakatoe na sadaka, kama ilivyonenwa katika sheria ya Bwana, Hua wawili au makinda ya njiwa wawili.  And to offer a sacrifice according to that which is said in the law of the Lord, A pair of turtledoves, or two young pigeons. [25]Na tazama, pale Yerusalemu palikuwa na mtu, jina lake Simeoni, naye ni mtu mwenye haki, mcha Mungu, akiitarajia faraja ya Israeli; na Roho Mtakatifu alikuwa juu ya...

MANENO YA MWISHO.

Image
MANENO YA MWISHO. MHUBIRI: HAKIKA JONATHAN BUCHA. 2 Wakorintho 13:11 [11]Hatimaye, ndugu, kwaherini; mtimilike, mfarijike, nieni mamoja, mkae katika amani; na Mungu wa upendo na amani atakuwa pamoja nanyi.  Finally, brethren, farewell. Be perfect, be of good comfort, be of one mind, live in peace; and the God of love and peace shall be with you.

UPANGA.

Image
UPANGA HAUTAONDOKA NYUMBANI MWAKO. MHUBIRI: MCH. JONATHAN BUCHA 2 Samweli 12:7-15 [7]Basi Nathani akamwambia Daudi, Wewe ndiwe mtu huyo. BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Nalikutia mafuta, uwe mfalme juu ya Israeli, nikakuokoa na mkono wa Sauli;  And Nathan said to David, Thou art the man. Thus saith the LORD God of Israel, I anointed thee king over Israel, and I delivered thee out of the hand of Saul; [8]nami nikakupa nyumba ya bwana wako, na wake za bwana wako kifuani mwako; nikakupa nyumba ya Israeli na ya Yuda; na kama hayo yangalikuwa machache, ningalikuongezea mambo kadha wa kadha.  And I gave thee thy master's house, and thy master's wives into thy bosom, and gave thee the house of Israel and of Judah; and if that had been too little, I would moreover have given unto thee such and such things. [9]Kwa nini umelidharau neno la BWANA, na kufanya yaliyo mabaya machoni pake? Umempiga Uria, Mhiti, kwa upanga, nawe umemtwaa mkewe awe mke wako, nawe umemwua huyo kwa upanga w...

UPENDO.

Image
UPENDO . MHUBIRI: MCH. JONATHAN BUCHA. 1 Wakorintho 13:1-13 [1]Nijaposema kwa lugha za wanadamu na za malaika, kama sina upendo, nimekuwa shaba iliayo na upatu uvumao.  Though I speak with the tongues of men and of angels, and have not charity, I am become as sounding brass, or a tinkling cymbal. [2]Tena nijapokuwa na unabii, na kujua siri zote na maarifa yote, nijapokuwa na imani timilifu kiasi cha kuweza kuhamisha milima, kama sina upendo, si kitu mimi.  And though I have the gift of prophecy, and understand all mysteries, and all knowledge; and though I have all faith, so that I could remove mountains, and have not charity, I am nothing. [3]Tena nikitoa mali zangu zote kuwalisha maskini, tena nikijitoa mwili wangu niungue moto, kama sina upendo, hainifaidii kitu.  And though I bestow all my goods to feed the poor, and though I give my body to be burned, and have not charity, it profiteth me nothing. [4]Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; ...