Posts

Showing posts from 2024

YESU ANAKUJA

Image
YESU ANAKUJA . Mhubiri: Mch. Jonathan Bucha. Mathayo 3:1-12 [1] Siku zile aliondokea Yohana Mbatizaji akihubiri katika nyika ya Uyahudi, na kusema,  In those days came John the Baptist, preaching in the wilderness of Judaea, [2]Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia.  And saying, Repent ye: for the kingdom of heaven is at hand. [3]Kwa sababu huyo ndiye aliyenenwa na nabii Isaya, akisema,  Sauti ya mtu aliaye nyikani,  Itengenezeni njia ya Bwana,  Yanyosheni mapito yake.  For this is he that was spoken of by the prophet Esaias, saying, The voice of one crying in the wilderness, Prepare ye the way of the Lord, make his paths straight. [4]Naye Yohana mwenyewe alikuwa na vazi lake la singa za ngamia, na mshipi wa ngozi kiunoni mwake; na chakula chake kilikuwa nzige na asali ya mwitu.  And the same John had his raiment of camel's hair, and a leathern girdle about his loins; and his meat was locusts and wild honey. [5]Ndipo walipomwendea Yerusalemu,...

Tabia Ya Martha

Image
UJUMBE KATIKA TABIA YA MARTHA. Mhubiri:  Mch. Jonathan Bucha Yohana 12:1-11 [1] Basi, siku sita kabla ya Pasaka, Yesu alifika Bethania, alipokuwapo Lazaro, yeye ambaye Yesu alimfufua katika wafu.  Then Jesus six days before the passover came to Bethany, where Lazarus was which had been dead, whom he raised from the dead. [2]Basi wakamwandalia karamu huko; naye Martha akatumikia; na Lazaro alikuwa mmojawapo wa wale walioketi chakulani pamoja naye.  There they made him a supper; and Martha served: but Lazarus was one of them that sat at the table with him. [3]Basi Mariamu akatwaa ratli ya marhamu ya nardo safi yenye thamani nyingi, akampaka Yesu miguu, akamfuta miguu kwa nywele zake. Nayo nyumba pia ikajaa harufu ya marhamu.  Then took Mary a pound of ointment of spikenard, very costly, and anointed the feet of Jesus, and wiped his feet with her hair: and the house was filled with the odour of the ointment. [4]Basi Yuda Iskariote, mmojawapo wa wanafunzi wake, ambaye nd...

WENYE UKOMA 10.

Image
WENYE UKOMA 10. MHUBIRI: MCH. JONATHAN BUCHA. Luka 17:11-17 Sisi kama wakoma kumi. Maana ya UKOMA ni dhambi. Tumrudie Mungu kama yule mmoja kati ya kumi. Tisa hawakumkumbuka Mungu baada ya kufanikiwa. Tunapomkumbuka Mungu naye atatupokea. Hii humaanisha kuwa katika Mafanikio tuwe na shukrani tumkumbuke Mungu aliye tupa uhai tusimsahau.Amina . [11]Ikawa walipokuwa njiani kwenda Yerusalemu, alikuwa akipita katikati ya Samaria na Galilaya.  And it came to pass, as he went to Jerusalem, that he passed through the midst of Samaria and Galilee. [12]Na alipoingia katika kijiji kimoja, alikutana na watu kumi wenye ukoma; wakasimama mbali,  And as he entered into a certain village, there met him ten men that were lepers, which stood afar off: [13]wakapaza sauti wakisema, Ee Yesu, Bwana mkubwa, uturehemu!  And they lifted up their voices, and said, Jesus, Master, have mercy on us. [14]Alipowaona aliwaambia, Enendeni, mkajionyeshe kwa makuhani. Ikawa walipokuwa wakienda walitakasika...

Mwana Mpotevu.

Image
MWANA MPOTEVU. MHUBIRI: MCH. JONATHAN BUCHA. Luka 15:11-25 [11]Akasema, Mtu mmoja alikuwa na wana wawili;  And he said, A certain man had two sons: [12]yule mdogo akamwambia babaye, Baba, nipe sehemu ya mali inayoniangukia. Akawagawia vitu vyake.  And the younger of them said to his father, Father, give me the portion of goods that falleth to me. And he divided unto them his living. [13]Hata baada ya siku si nyingi, yule mdogo akakusanya vyote, akasafiri kwenda nchi ya mbali; akatapanya mali zake huko kwa maisha ya uasherati.  And not many days after the younger son gathered all together, and took his journey into a far country, and there wasted his substance with riotous living. [14]Alipokuwa amekwisha tumia vyote, njaa kuu iliingia nchi ile, yeye naye akaanza kuhitaji.  And when he had spent all, there arose a mighty famine in that land; and he began to be in want. [15]Akaenda akashikamana na mwenyeji mmoja wa nchi ile; naye alimpeleka shambani kwake kulisha nguruw...

Namna ya Kuchagua Ushauri.

Image
KUHUSU USHAURI. Watu wengi wamefikia hatua ya kudharau ushauri wa wazee ambao wameyaona mengi na kuishi katika mambo mengi ama katika Huduma ya Mungu au maisha ya kawaida. Wazee sio katika kigezo cha umri tu bali hata uzoefu pia. Tusipuuze ushauri wa wazoefu katika kada mbalimbali. Kwa mfano. Juzi nilipita kwa mpendwa mmoja anayefanya biashara ya mazao mnadani. Inawezekana wakati anataka kuanza biashara hiyo alionana kwanza na wazee (Wazoefu) akawaomba ushauri namna ya kufanikiwa. N.k 1 Wafalme 12:1-14 [1]Rehoboamu akaenda Shekemu; maana Israeli wote walikuwa wamekwenda Shekemu, ili kumfanya mfalme.  And Rehoboam went to Shechem: for all Israel were come to Shechem to make him king. [2]Ikawa Yeroboamu mwana wa Nebati alipopata habari (maana alikuwa akaliko Misri, huko alikokimbilia awe mbali na mfalme Sulemani; Yeroboamu akakaa huko Misri,  And it came to pass, when Jeroboam the son of Nebat, who was yet in Egypt, heard of it, (for he was fled from the presence of king Solomon...

WAMWISHO WATAKUWA WAKWANZA.

Image
WAMWISHO WATAKUWA WAKWANZA. MHUBIRI: FAUSTINE GUTAPAKA. Tarehe 07 Julai 2024. Mathayo 19:30 [30]Lakini wengi walio wa kwanza watakuwa wa mwisho, na walio wa mwisho watakuwa wa kwanza.  But many that are first shall be last; and the last shall be first. Marejeo. Mathayo 20:1-16 [1]Kwa maana ufalme wa mbinguni umefanana na mtu mwenye nyumba aliyetoka alfajiri kwenda kuajiri wakulima awapeleke katika shamba lake la mizabibu.  For the kingdom of heaven is like unto a man that is an householder, which went out early in the morning to hire labourers into his vineyard. [2]Naye alipokwisha kupatana na wakulima kuwapa kutwa dinari, aliwapeleka katika shamba lake la mizabibu.  And when he had agreed with the labourers for a penny a day, he sent them into his vineyard. [3]Akatoka mnamo saa tatu, akaona wengine wamesimama sokoni wasiokuwa na kazi;  And he went out about the third hour, and saw others standing idle in the marketplace, [4]na hao nao akawaambia, Enendeni nanyi kati...

KUJITENGA NA UONGO

Image
TUKATAE KUSEMA UONGO. MHUBIRI: WINFRIDA JONATHAN Utangulizi. Mithali 14:25b. Maana ya uongo ni udanganyifu. Yaani kinyume cha Ukweli. Hata hivyo, Biblia inaonya mengi kuhusu uongo, kutoka 5:20, Kutoka 20:16. Tusifanye wangine wateseke kwa sababu ya uongo. Kutoka 23:1a, Usivumishe habari za uongo. Maandiko yanakataa tabia ya kusambaza uongo. Kutoka 23:7a, jitenge mbali na neno uongo. Pale unapoona uongo unaweza kufanyika tafuta namna ya kukaa mbali na mazingira hayo. Lazima tuwe tofauti na watu wa mtaifa. Mambo ya Walawi 19:12a, msiape uongo kwa Jina Langu. Kwa mfano mtu anadanganya halafu anasema Haki ya Mungu, huko ni kumdhihaki Mungu. Madhara ya uongo. Zab 31:6, Nawachukia wao washikao yasiyofaa ya uongo. Zab 31:18, midomo ya uongo iwe na ububu. Maana yake ni kufungwa kinywa na Mungu atafanya hilo. Mithali 19:5, Shahidi wa uongo hakosi, ataadhibiwa. Hakika maandiko yanasema mtu kama hiyo hataokoka. Mithali 19:9 inasisitiza kuhusu kuangamia kwa mtu wa uongo. Kwa hiyo, tuendelee kumtum...

WEMA KAMILI.

Image
WEMA KAMILI. MHUBIRI: MCH.  JONATHAN BUCHA. Maneno ambayo Yesu Kristo anawaambia mafarisayo na Masadukayo.  Watu hawa walijifanya wachamungu wakienda hata katika njiapanda kufundisha neno la Mungu. Yesu anawatahadharisha watu kuwa makini na chachu yao kwa sababu wanajionesha kuwa ni watu wa kumcha Mungu lakini sivyo, wanafiki wakubwa. Yesu anasema watu kama hawa hawapati thawabu machoni pa Mungu. MTU anaweza kujionesha ni mpole na huwezi kutambua chuki kwa macho ya kawaida lakini ni mfitini na mgombanishi, msengenyaji n.k Nitolee mfano akina mama wa kisukuma, wao wamefundishwa kuheshimu mume na wanaowazidi umri. Hata baadhi ya waha wanaheshima nzuri lakini wengi wanaigiza.  Baadhi ya wanawake wa kiha wanaheshima ya kujionesha kwa watu lakini kwa waume zao hawayafanyi hayo ya heshima.  Hiyo ni heshima ya kinafiki. Kila mmoja atende wema kutoka moyoni, kwa Mungu na kwa watu wote. Wapo baadhi ya watu wanajinyenyekeza ili kupata kitu. Baada ya kupata kitu kwa heri mwalim...

NIAMBIE ASILI YA NGUVU ZAKO.

Image
NIAMBIE ASILI YA NGUVU ZAKO . MHUBIRI: MCH. JONATHAN BUCHA. Waamuzi 16:15-22 Samson ni mtoto wa mtu mmoja aliyeitwa Manoa na  wake hakutajwa. Mke wa Manoa alikuwa tasa.  Malaika wa Bwana aliwatokea na kusema watapata mtoto naye huyo mtoto asije akanyolewa nywele naye wazazi wake wasiwe najisi wala kutumia mvinyo. Samson alitengwa na Mungu kuwa mtumishi wake, ndivyo ilivyo kwetu sote. Samson anachaguliwa wakati ambao Israel haina mfalme bali Waamuzi. Kwa hiyo Samson alisimama baada ya Waamuzi wengine kupita.  Wafilist ni miongoni mwa mataifa yaliyopigana vita muda mrefu na Israel. Samson anainuliwa wakati ambao wana wa Israel wako katika mateso makali na yeye aliinuliwa kama mkombozi wao. Delila alikuwa mwanamke wa kifilisti aliyekuwa kahaba na kupendwa na Samson ( Nafikiri ni mpango wa Mungu) japokuwa Delila hakuwa na ushuda mzuri. Samson alimpenda sana Delila bila kujali kuwa anatoka katika maadui zake. Kwa sababu hiyo, Delila alifanyika mtego kwa Samson.  Mungu ali...

KUTII WITO.

Image
KUTII WITO. MHUBIRI: OPTATUS GERSHON. Isaya 6:8 [8]Kisha nikaisikia sauti ya Bwana, akisema, Nimtume nani, naye ni nani atakayekwenda kwa ajili yetu? Ndipo niliposema, Mimi hapa, nitume mimi.  Also I heard the voice of the Lord, saying, Whom shall I send, and who will go for us? Then said I, Here am I; send me. Marejeo: Zaburi 119:9 [9]Jinsi gani kijana aisafishe njia yake?  Kwa kutii, akilifuata neno lako.  BETH. Wherewithal shall a young man cleanse his way? by taking heed thereto according to thy word.

USIKATISHE TAMAA WENGINE.

Image
USIKATISHE TAMAA WENGINE. MHUBIRI: MCH. JONATHAN BUCHA. Hesabu 13:25-33 [25]Wakarejea baada ya kuipeleleza nchi, mwisho wa siku arobaini.  And they returned from searching of the land after forty days. [26]Wakaenda wakafika kwa Musa, na kwa Haruni, na kwa mkutano wote wa wana wa Israeli, katika jangwa la Parani, huko Kadeshi; wakawaletea habari, wao na mkutano wote, wakawaonyesha matunda ya nchi.  And they went and came to Moses, and to Aaron, and to all the congregation of the children of Israel, unto the wilderness of Paran, to Kadesh; and brought back word unto them, and unto all the congregation, and shewed them the fruit of the land. [27]Wakamwambia wakasema, Tulifika nchi ile uliyotutuma, na hakika yake, ni nchi yenye wingi wa maziwa na asali, na haya ndiyo matunda yake.  And they told him, and said, We came unto the land whither thou sentest us, and surely it floweth with milk and honey; and this is the fruit of it. [28]Lakini watu wanaokaa katika nchi ile ni hodar...

KULEA WATOTO BILA UPENDELEO.

Image
KULEA WATOTO BILA UPENDELEO. MHUBIRI: HAKIKA J BUCHA. Mwanzo 27:1-40 [1]Ikawa Isaka alipokuwa mzee, na macho yake yamepofuka asione, akamwita Esau, mwanawe mkubwa, akamwambia, Mwanangu. Naye akamwitikia, Mimi hapa.  And it came to pass, that when Isaac was old, and his eyes were dim, so that he could not see, he called Esau his eldest son, and said unto him, My son: and he said unto him, Behold, here am I. [2]Akasema, Tazama, sasa mimi nimekuwa mzee, wala sijui siku ya kufa kwangu.  And he said, Behold now, I am old, I know not the day of my death: [3]Basi, nakuomba, chukua mata yako, podo lako na upinde wako, ukaende nyikani uniwindie mawindo;  Now therefore take, I pray thee, thy weapons, thy quiver and thy bow, and go out to the field, and take me some venison; [4]ukanifanyie chakula kitamu namna ile niipendayo, ukaniletee, ili nile; na roho yangu ikubariki, kabla sijafa.  And make me savoury meat, such as I love, and bring it to me, that I may eat; that my soul m...

SISI TULIO NA NGUVU.

Image
SISI TULIO NA NGUVU. MHUBIRI: OPTATUS GERSHON. Warumi 15:1-3 [1]Basi imetupasa sisi tulio na nguvu kuuchukua udhaifu wao wasio na nguvu, wala haitupasi kujipendeza wenyewe.  We then that are strong ought to bear the infirmities of the weak, and not to please ourselves. [2]Kila mtu miongoni mwetu na ampendeze jirani yake, apate wema, akajengwe.  Let every one of us please his neighbour for his good to edification. [3]Kwa maana Kristo naye hakujipendeza mwenyewe; bali kama ilivyoandikwa, Malaumu yao waliokulaumu wewe yalinipata mimi.  For even Christ pleased not himself; but, as it is written, The reproaches of them that reproached thee fell on me. Walio na Nguvu ni akina nani? Ni wale waliojawa na Roho Mtakatifu.  Hata hivyo, Nguvu zetu hudhihirishwa tujaribiwapo.  Kila mmoja Kanisani ana Nguvu zake na Nguvu hizo hutegemea sana kiasi cha Imani alicho nacho mtu husika. Ni vizuri kuepuka kujipenda bali tuwapendeze jirani zetu. Maana hawa majirani ndio mabarozi wetu...

YACHUNGUZE MAWAZO YAKO KAMA YANA MADHARA.

Image
YACHUNGUZE MAWAZO YAKO KAMA YANA MADHARA. MHUBIRI: EV. YOTHAM FILIMON (TENDAWEMA) Neno la Mungu linazungumza habari ya mke na mume na kwa kawaida wanafamilia wa aina hiyo lazima wawe na mipango. Kwa wakati ule Kanisa la Yerusalemu liliazimia kuchangia na kusaidia watu wasiojiweza. Katika jambo hilo kila Mkristo aliweza kujitoa kitu alichoweza. Katika Matendo ya Mitume 4:36 anaonekana Yusufu mtu wa Kipro aliuza shamba na fedha iliyopatikana akaiweka chini ya miguu ya mitume. Jambo la kushangaza Anania na mkewe Safira walifanikiwa kuuza shamba lao lakini baada ya kupata fedha waliiingia tamaa na kuanza kuwaza kwenda kinyume na makubaliano ya KANISA. Walipoenda mbele za Mitume wakapanga kusema uongo kuhusu kiasi walichopata baada ya kuuza shamba. Kwa sababu walishawaza mawazo mabaya bila kujua madhara yake. Petro akiwa katika Roho Mtakatifu anamuuliza Anania na Anania anasema uongo na kwa dhambi hiyo anakufa hapohapo. Mke wake naye bila kujua alipoulizwa alisema uongo naye akafa na kuzikw...

SHETANI ANAVYOWEZA KUMTUMIA MTU WA KARIBU.

Image
SHETANI ANAVYOWEZA KUMTUMIA MTU WA KARIBU . MHUBIRI: HAKIKA JONATHAN. Mathayo 16:23 [23]Akageuka, akamwambia Petro, Nenda nyuma yangu, Shetani; u kikwazo kwangu; maana huyawazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu.  But he turned, and said unto Peter, Get thee behind me, Satan: thou art an offence unto me: for thou savourest not the things that be of God, but those that be of men. MAREJEO: Yohana 13:4-15 [4]aliondoka chakulani; akaweka kando mavazi yake, akatwaa kitambaa, akajifunga kiunoni.  He riseth from supper, and laid aside his garments; and took a towel, and girded himself. [5]Kisha akatia maji katika bakuli, akaanza kuwatawadha wanafunzi miguu, na kuifuta kwa kile kitambaa alichojifunga.  After that he poureth water into a bason, and began to wash the disciples' feet, and to wipe them with the towel wherewith he was girded. [6]Hivyo yuaja kwa Simoni Petro. Huyo akamwambia, Bwana! Wewe wanitawadha miguu mimi?  Then cometh he to Simon Peter: and Peter saith unto h...

KUISHI WITO WETU.

Image
KUISHI KWA WITO. MUHUBIRI: WINFRIDA JONATHAN. 1 Petro 1:13-25 [13]Kwa hiyo vifungeni viuno vya nia zenu, na kuwa na kiasi; mkiitumainia kwa utimilifu ile neema mtakayoletewa katika ufunuo wake Yesu Kristo.  Wherefore gird up the loins of your mind, be sober, and hope to the end for the grace that is to be brought unto you at the revelation of Jesus Christ; [14]Kama watoto wa kutii msijifananishe na tamaa zenu za kwanza za ujinga wenu;  As obedient children, not fashioning yourselves according to the former lusts in your ignorance: [15]bali kama yeye aliyewaita alivyo mtakatifu, ninyi nanyi iweni watakatifu katika mwenendo wenu wote;  But as he which hath called you is holy, so be ye holy in all manner of conversation; [16]kwa maana imeandikwa, Mtakuwa watakatifu kwa kuwa mimi ni mtakatifu.  Because it is written, Be ye holy; for I am holy. [17]Na ikiwa mnamwita Baba, yeye ahukumuye kila mtu pasipo upendeleo, kwa kadiri ya kazi yake, enendeni kwa hofu katika wakati we...

MACHO YAO YAKAFUMBULIWA.

Image
YESU KRISTO LIMBUKO LAO WALIOLALA. MHUBIRI: FAUSTINE GUTAPAKA. 1 Wakorintho 15:20 [20]Lakini sasa Kristo amefufuka katika wafu, limbuko lao waliolala.  But now is Christ risen from the dead, and become the firstfruits of them that slept. MAREJEO: Luka 24:13-34 [13]Na tazama, siku ile ile watu wawili miongoni mwao walikuwa wakienda kijiji kimoja, jina lake Emau, kilichokuwa mbali na Yerusalemu kama mwendo wa saa mbili.  And, behold, two of them went that same day to a village called Emmaus, which was from Jerusalem about threescore furlongs. [14]Nao walikuwa wakizungumza wao kwa wao habari za mambo hayo yote yaliyotukia.  And they talked together of all these things which had happened. [15]Ikawa katika kuzungumza na kuulizana kwao, Yesu mwenyewe alikaribia, akaandamana nao.  And it came to pass, that, while they communed together and reasoned, Jesus himself drew near, and went with them. [16]Macho yao yakafumbwa wasimtambue.  But their eyes were holden that they ...

YESU ALISULUBIWA BILA KOSA.

Image
YESU ALISULUBIWA BILA KOSA. MHUBIRI: OPTATUS GERSHON. Mathayo 27:11-31 [11]Naye Yesu akasimama mbele ya liwali; liwali akamwuliza, akasema, Wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi? Yesu akamwambia, Wewe wasema.  And Jesus stood before the governor: and the governor asked him, saying, Art thou the King of the Jews? And Jesus said unto him, Thou sayest. [12]Lakini aliposhitakiwa na wakuu wa makuhani na wazee, hakujibu hata neno.  And when he was accused of the chief priests and elders, he answered nothing. [13]Ndipo Pilato akamwambia, Husikii ni mambo mangapi wanayokushuhudia?  Then said Pilate unto him, Hearest thou not how many things they witness against thee? [14]Asimjibu hata neno moja, hata liwali akastaajabu sana.  And he answered him to never a word; insomuch that the governor marvelled greatly. [15]Basi wakati wa siku kuu, liwali desturi yake huwafungulia mkutano mfungwa mmoja waliyemtaka.  Now at that feast the governor was wont to release unto the people a prison...

ZITAMBUE DHAMBI ZAKO.

Image
ZITAMBUE DHAMBI ZAKO NA UMKABIDHI YESU. MHUBIRI: MCH. JONATHAN BUCHA. Luka 7:36-50 [36]Mtu mmoja katika Mafarisayo alimwalika ale chakula kwake; akaingia katika nyumba yake yule Farisayo, akaketi chakulani.  And one of the Pharisees desired him that he would eat with him. And he went into the Pharisee's house, and sat down to meat. [37]Na tazama, mwanamke mmoja wa mji ule, aliyekuwa mwenye dhambi, alipopata habari ya kuwa ameketi chakulani katika nyumba ya yule Farisayo, alileta chupa ya marimari yenye marhamu.  And, behold, a woman in the city, which was a sinner, when she knew that Jesus sat at meat in the Pharisee's house, brought an alabaster box of ointment, [38]Akasimama nyuma karibu na miguu yake, akilia, akaanza kumdondoshea miguu machozi yake, na kuipangusa kwa nywele za kichwa chake, akiibusu-busu miguu yake na kuipaka yale marhamu.  And stood at his feet behind him weeping, and began to wash his feet with tears, and did wipe them with the hairs of her head, and...

KUUGUA KWA HEZEKIA.

Image
KUUGUA KWA HEZEKIA. MHUBIRI: MCH. JONATHAN BUCHA. 2 Wafalme 20:1-11 [1]Siku hizo Hezekia akaugua, akawa katika hatari ya kufa. Isaya, nabii, mwana wa Amozi, akamjia akamwambia, BWANA asema hivi, Tengeza mambo ya nyumba yako; maana utakufa, wala hutapona.  In those days was Hezekiah sick unto death. And the prophet Isaiah the son of Amoz came to him, and said unto him, Thus saith the LORD, Set thine house in order; for thou shalt die, and not live. [2]Basi Hezekia akajigeuza, akaelekeza uso wake ukutani, akamwomba BWANA akasema,  Then he turned his face to the wall, and prayed unto the LORD, saying, [3]Nakusihi, BWANA, ukumbuke sasa, jinsi nilivyokwenda mbele zako katika kweli na kwa moyo mkamilifu, na kutenda yaliyo mema machoni pako. Hezekia akalia sana sana.  I beseech thee, O LORD, remember now how I have walked before thee in truth and with a perfect heart, and have done that which is good in thy sight. And Hezekiah wept sore. [4]Ikawa, kabla Isaya hajatoka katika mji...